Tanga kiingilio elfu 20! Hawa TFF wako sawa sawa kweli?

Tanga kiingilio elfu 20! Hawa TFF wako sawa sawa kweli?

Kuna watu kweli akili zao sijui kama Zina weza kufikiria vyema hasa katika kipindi hiki kigumu na Cha mpito

Tanga wameangalia mechi 2 mfululizo kwa KIINGILIO Cha elfu 10 na kuendelea .tena ndani ya siku tatu mtu atoe tena elfu 20 ili kuona fainali?

Au Azam wamewaambia muweke viingilio vikubwa ili watu wasije walipie ving'amuzi?

Acheni hizo habari aiseeee ! Punguzeni viingilio hivyo

Sijawai ona ngao ya jamiii hata moja nchin ikawa na KIINGILIO kuanzia elfu 20

Maisha ni magumu sio mchezo
Kwanza Tanga yenyewe kavu kinoma
Kila mtu anadaiwa vicoba sio mume sio mke

Punguzeni viingilio acheni kupima watu kama wanapenda Mpira au hawapendi

Majukwaa mtayakuta meupe hayo .watu wanawaangalia tu.

Mtachagua Moja wenyewe either kuingiza watu Bure kama yanga Africa au kupunguza KIINGILIO.

Yangu ni hayo na nimekaaa pale naangalia uwanja utakavyokuwa mweupe.
View attachment 2714648
Km huwezi kulipa hata elf 20 si uache ushabiki? Acha kuendekeza umaskini
 
Starehe gharama,huwezi kumudu kuingia kwa ground kwa kiingilio hicho nenda banda umiza ucheki game kwa jero tu..
 
Back
Top Bottom