Eleza vizuri, kijiji kipo wilaya gani? Tanga ni mkoa mkubwa Sana.Vijana msijifungie sehemu Moja
Ni Aridhi sio pori ==> 50k per heka Moja Ina support kilimo... mahindi , maharage...nk na ufugaji.
Unauza weweVijana msijifungie sehemu Moja
Ni Aridhi sio pori ==> 50k per heka Moja Ina support kilimo... mahindi , maharage...nk na ufugaji.
Ahsante mkuu.Mafisa ,kibirashi district
Hapa una maana ganiKono La Nyani
Moja Tu Hoi Chini
Unaweza Kuuziwa Shamba Hewa/Lenye MgogoroHapa una maana gani
Usipokua na taarifa unaenda kupata kwa bei kubwa aisee.
Ni kweliUnaweza Kuuziwa Shamba Hewa/Lenye Mgogoro
Huko ni Tanzania?🤣Mafisa ,kibirashi district
Hizi ndiyo mambo za kujadili sasa...Wilaya gani mkuu?.Vijana msijifungie sehemu Moja
Ni Aridhi sio pori ==> 50k per heka Moja Ina support kilimo... mahindi , maharage...nk na ufugaji.
Hizo habari nimesikia tanga utotoni,lakini nina miaka 13 nipo tanga sijawahi kushuhudia hivyo viti zaidi ya story tuAsiwadqnganye Tanga siyo ya kunyea kwenye mambo ya uchawi kabla hujawaza kwenda jikoki kwanza