Mafisa ni kata ya halmashauri ya kilindi! Ukisikia Tanga yanayoka maharage basi sehemu maarufu kwa ulimaji huo ni mafisa_kibirashi.Ila jamaa kataja eneo halipo na hata wilaya aliyotaja haipo, ila watu wanamuamini .
Kama umeweka wazi mashamba ni 50k code ya nini sasa?Acha ubishi sometimes code zinatumika
Uliotwaje Baba mtakatifu91 na imani haba kiasi hiki?Asiwadqnganye Tanga siyo ya kunyea kwenye mambo ya uchawi kabla hujawaza kwenda jikoki kwanza
Ila jamaa kataja eneo halipo na hata wilaya aliyotaja haipo, ila watu wanamuamini .
Nimeipata mkuu ipo kilindimafisa, icheki ata Google map utaiona
Nimekupata mkuuNi kweli Tanga ina maeneo mengi sana ya bei che hasa Kilindi na Handeni. Kwa kushauri ni vema mkanunua ya bei ghali kuanzia laki 1 pembezoni mwa barabara
kaya kabisaMafisa ni kata ya halmashauri ya kilindi! Ukisikia Tanga yanayoka maharage basi sehemu maarufu kwa ulimaji huo ni mafisa_kibirashi.
Jamaa yuko sahihi kabisa.