jastertz
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 407
- 768
Habari,
Taarifa zisizo rasmi Tanga mjini imejikuta katika hali ya sintofahamu kutokana na uvamizi wa watu nyakati za usiku na kuporwa. Waandishi wa habari Tanga wamenyamaza hawaripoti taarifa kama hizo ili watu wawe makini katika shughuli zao,,, tukio kubwa limetokea barabara ya 3 kwa mfanyabiashara mmoja (mhindi) na kuporwa pesa.
Vyombo husika vifuatilie,