Tanga : Kiwanda cha kuchakata mchanga mzito wa bahari au heavy minerals sand kinajengwa Pangani

Xmonster

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2020
Posts
1,784
Reaction score
2,457
Uwekezaji mkubwa wa kampuni ya China kwenye sekta ya madini Tanzania 👇

Kampuni ya Shenghe Resources kutoka China imeanza ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kuchakata madini ya mchanga mzito wa baharini - Heavy Mineral Sands
Mahali: Eneo la Tajiri, Wilaya ya Pangani, Mkoani Tanga.

Kampuni hii tayari inatekeleza mradi mkubwa wa uchimbaji wa madini ya tembo katika eneo hilo.

Hii ilisemwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shenghe Resources, Ndugu. Xie Bing wakati wa ziara ya Waziri wa Madini, Mh. Anthony Mavunde kwenda kujionea shughuli za uongezaji thamani madini zinazofanywa na kampuni hiyo.

Kwa nini Tanzania?
Ndugu Xie Bing amesema Afrika wana miradi kama hiyo pia Msumbiji, Afrika ya Kusini na Madagascar.
Lakini wameichagua Tanga Tanzania kuwa kitovu cha uchakataji wa madini hayo Barani Afrika.
Wameahidi kukamilisha kiwanda hicho Mineral Separation Plant ndani ya muda mfupi ujao.
Baada ya hapo, malighafi kutoka nchi nyingine za Afrika zitaletwa Tanzania kwa ajili ya kuchakatwa na kuongezewa thamani.

Serikali imesemaje?
- Ndugu. Bing amempongeza Rais Samia S. Hassan kwa kutoa mazingira rafiki ya uwekezaji yaliyowavutia kuja Tanzania.

  • Waziri Mavunde amepongeza hatua hiyo kwa kusema inakwenda sambamba na Sera ya Madini na Sheria ya Madini ya kuongeza thamani madini nchini.
  • Amesema itachochea: Ajira, Kuongezeka kwa mapato, na ukuaji wa teknolojia* katika eneo la uchakataji madini.
  • Pia ameitaka Shenghe kuhakikisha inakamilisha ujenzi kwa wakati na inamalizia malipo ya fidia kwa maeneo machache yaliyobaki.

Umuhimu wa habari hii
Hiki ni kiwanda cha kwanza kikubwa cha kuchakata Heavy Mineral Sands Afrika Mashariki. Kikiisha, Tanzania itakuwa inavutia madini ghafi kutoka nchi nyingine za Afrika ili yachakatwe hapa badala ya kuyapeleka nje bila kuchakatwa.

Tanga inarudisha heshima yake
 
uwekezaji mkubwa wa kampuni ya China kwenye sekta ya madini Tanzania 👇

Nimesoma nimetoka kapa: 'madini ya mchanga mzito', ni madini gani hayo?

Kwa uelewa wangu, mchanga ni madini ya msingi ya kutengeneza vioo.

Sasa hii term 'mchanga mzito' sijaelewa maana yake kabisa.
 
Labda Tanga itarudisha Heshima yake Kwa Kilimanjaro tuu sio Mbeya.

Pwani inaongoza Kwa Viwanda Tanzania ila ni maskini sana.

Mbeya Ina Uchumi mkubwa wa Kila sekta kuanzia Madini,Kilimo Hadi Viwanda Sasa Tanga itafukiza Hadi lini kutoa Mbeya namba 3?
 
Mchanga una tofautiana na thamani pia
Mchanga unaweza kuwa sawa lakini mwingine ni mzito kwa madini yaliyokuwa nayo
Ndio nilivyoelewa
Kwa mfano pwani au bahari ya Somaliland kuna mchanga mzuri sana na wenye thamani kubwa sana kwa matumizi tofauti na ya kwetu
 
Hayo madini yanatumika vipi na kwenye nini, thamani yake? yanaitwaje in English
Madini hutumika kutengezea engine za ndege, silaha kubwa za kivita, Teknolojia kwenye AI,vifaa vya matibabu.
 
Hayo madini yanatumika vipi na kwenye nini, thamani yake? yanaitwaje in English
Madini hutumika kutengezea engine za ndege, silaha kubwa za kivita, Teknolojia kwenye AI,vifaa vya matibabu
Labda Tanga itarudisha Heshima yake Kwa Kilimanjaro tuu sio Mbeya.

Pwani inaongoza Kwa Viwanda Tanzania ila ni maskini sana.

Mbeya Ina Uchumi mkubwa wa Kila sekta kuanzia Madini,Kilimo Hadi Viwanda Sasa Tanga itafukiza Hadi lini kutoa Mbeya namba 3?
Hahahaha kaka mbeya haifikii tanga,huo ndio ukweli usiopenda
 
Sawa tumeelewa!! Vipi mkuu vibarua vinapatikana huko nitume CV yangu hapo chapu hata ya ulinzi🥹🥹sio tu mnazindua maviwanda alafu fursa hatuzioni
 
Back
Top Bottom