Heavy Mineral Sands Mineral Separation Plant ndani ya muda mfupi ujao. Heavy Mineral Sands Afrika Mashariki. Kikiisha, Tanzania itakuwa inavutia madini ghafi kutoka nchi nyingine za Afrika ili yachakatwe hapa badala ya kuyapeleka nje bila kuchakatwa.Nimesoma nimetoka kapa: 'madini ya mchanga mzito', ni madini gani hayo?uwekezaji mkubwa wa kampuni ya China kwenye sekta ya madini Tanzania 👇
Kampuni ya Shenghe Resources kutoka China imeanza ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kuchakata madini ya mchanga mzito wa baharini -Heavy Mineral Sands
Mahali: Eneo la Tajiri, Wilaya ya Pangani, Mkoani Tanga.
Kampuni hii tayari inatekeleza mradi mkubwa wa uchimbaji wa madini ya tembo katika eneo hilo.
Hii ilisemwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shenghe Resources, Ndugu. Xie Bing wakati wa ziara ya Waziri wa Madini, Mh. Anthony Mavunde kwenda kujionea shughuli za uongezaji thamani madini zinazofanywa na kampuni hiyo.
Kwa nini Tanzania?
Ndugu Xie Bing amesema Afrika wana miradi kama hiyo pia Msumbiji, Afrika ya Kusini na Madagascar.
Lakini wameichagua Tanga Tanzania kuwa kitovu cha uchakataji wa madini hayo Barani Afrika.
Wameahidi kukamilisha kiwanda hichoMineral Separation Plantndani ya muda mfupi ujao.
Baada ya hapo, malighafi kutoka nchi nyingine za Afrika zitaletwa Tanzania kwa ajili ya kuchakatwa na kuongezewa thamani.
Serikali imesemaje?
- Ndugu. Bing amempongeza Rais Samia S. Hassan kwa kutoa mazingira rafiki ya uwekezaji yaliyowavutia kuja Tanzania.
- Waziri Mavunde amepongeza hatua hiyo kwa kusema inakwenda sambamba na Sera ya Madini na Sheria ya Madini ya kuongeza thamani madini nchini.
- Amesema itachochea: Ajira, Kuongezeka kwa mapato, na ukuaji wa teknolojia* katika eneo la uchakataji madini.
- Pia ameitaka Shenghe kuhakikisha inakamilisha ujenzi kwa wakati na inamalizia malipo ya fidia kwa maeneo machache yaliyobaki.
Umuhimu wa habari hii
Hiki ni kiwanda cha kwanza kikubwa cha kuchakataHeavy Mineral SandsAfrika Mashariki. Kikiisha, Tanzania itakuwa inavutia madini ghafi kutoka nchi nyingine za Afrika ili yachakatwe hapa badala ya kuyapeleka nje bila kuchakatwa.
Tanga inarudisha heshima yake
Ni Ocean sand na zinatumika kwa kutengeza Asphalt, glass, concreteHayo madini yanatumika vipi na kwenye nini, thamani yake? yanaitwaje in English
Labda Tanga itarudisha Heshima yake Kwa Kilimanjaro tuu sio Mbeya.Uwekezaji mkubwa wa kampuni ya China kwenye sekta ya madini Tanzania 👇
Kampuni ya Shenghe Resources kutoka China imeanza ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kuchakata madini ya mchanga mzito wa baharini -Heavy Mineral Sands
Mahali: Eneo la Tajiri, Wilaya ya Pangani, Mkoani Tanga.
Kampuni hii tayari inatekeleza mradi mkubwa wa uchimbaji wa madini ya tembo katika eneo hilo.
Hii ilisemwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shenghe Resources, Ndugu. Xie Bing wakati wa ziara ya Waziri wa Madini, Mh. Anthony Mavunde kwenda kujionea shughuli za uongezaji thamani madini zinazofanywa na kampuni hiyo.
Kwa nini Tanzania?
Ndugu Xie Bing amesema Afrika wana miradi kama hiyo pia Msumbiji, Afrika ya Kusini na Madagascar.
Lakini wameichagua Tanga Tanzania kuwa kitovu cha uchakataji wa madini hayo Barani Afrika.
Wameahidi kukamilisha kiwanda hichoMineral Separation Plantndani ya muda mfupi ujao.
Baada ya hapo, malighafi kutoka nchi nyingine za Afrika zitaletwa Tanzania kwa ajili ya kuchakatwa na kuongezewa thamani.
Serikali imesemaje?
- Ndugu. Bing amempongeza Rais Samia S. Hassan kwa kutoa mazingira rafiki ya uwekezaji yaliyowavutia kuja Tanzania.
- Waziri Mavunde amepongeza hatua hiyo kwa kusema inakwenda sambamba na Sera ya Madini na Sheria ya Madini ya kuongeza thamani madini nchini.
- Amesema itachochea: Ajira, Kuongezeka kwa mapato, na ukuaji wa teknolojia* katika eneo la uchakataji madini.
- Pia ameitaka Shenghe kuhakikisha inakamilisha ujenzi kwa wakati na inamalizia malipo ya fidia kwa maeneo machache yaliyobaki.
Umuhimu wa habari hii
Hiki ni kiwanda cha kwanza kikubwa cha kuchakataHeavy Mineral SandsAfrika Mashariki. Kikiisha, Tanzania itakuwa inavutia madini ghafi kutoka nchi nyingine za Afrika ili yachakatwe hapa badala ya kuyapeleka nje bila kuchakatwa.
Tanga inarudisha heshima yake
Mchanga una tofautiana na thamani piaNimesoma nimetoka kapa: 'madini ya mchanga mzito', ni madini gani hayo?
Kwa uelewa wangu, mchanga ni madini ya msingi ya kutengeneza vioo.
Sasa hii term 'mchanga mzito' sijaelewa maana yake kabisa.
Madini hutumika kutengezea engine za ndege, silaha kubwa za kivita, Teknolojia kwenye AI,vifaa vya matibabuHayo madini yanatumika vipi na kwenye nini, thamani yake? yanaitwaje in English
Hahahaha kaka mbeya haifikii tanga,huo ndio ukweli usiopendaLabda Tanga itarudisha Heshima yake Kwa Kilimanjaro tuu sio Mbeya.
Pwani inaongoza Kwa Viwanda Tanzania ila ni maskini sana.
Mbeya Ina Uchumi mkubwa wa Kila sekta kuanzia Madini,Kilimo Hadi Viwanda Sasa Tanga itafukiza Hadi lini kutoa Mbeya namba 3?
Kwa sasa naona kuteka na kutupoteza yamepunguza lkn hayajaacha haya ma mumiami.Tatizo hatuoni mafanikio yake uraiani zaidi ya waliojichaguwa kula bata na familia zao!
Tena bata za kufa mtu!