PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
dereve wa lori it seems alikuwa si kawaida/speed kubwa
Mkuu unaelewa maana ya neno seems?, means probabilityDoh, hii speed kwenye picha sijui umeionaje, au una macho ya Kiroho?
Mkuu unaelewa maana ya neno seems?, means probability
Malori mengi yanakuja yamechoka mabovu, ukipita barabarani yanasababisha ajali na foleni, sijui nini kifanyikeWanakijiji 10 wa kijiji cha Chang’ombe kilichopo kwenye kata ya Segera wilayani Handeni wamefariki dunia kwa kugongwa na lori lililopoteza uelekeo wakati walipojitokeza barabarani kutoa msaada kufuatia ajali ya barabarani ya gari ndogo aina ya Tata.
Dah,wamekufa kifo cha maumivu makali sana, naogopa sana kifo cha ajali Mungu atuepushie kwakweli,roho inatoka kwa maumivu makali, wema wao wakutaka kutoa msaada umewaghalimu uhai. Walale pahala pema insh.Wanakijiji 10 wa kijiji cha Chang’ombe kilichopo kwenye kata ya Segera wilayani Handeni wamefariki dunia kwa kugongwa na lori lililopoteza uelekeo wakati walipojitokeza barabarani kutoa msaada kufuatia ajali ya barabarani ya gari ndogo aina ya Tata.
Kwa mujibu wa taarifa ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dkt. Batilda Burian lori hilo liliwagonga watu hao usiku wa kuamkia leo Januari 14, 2025 na kusababisha vifo hivyo sambamba na maheruhi.
Miili ya marehemu hao imehifadhiwa katika hospitali ya Magunga iliyopo wilayani Korogwe na majeruhi wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali hiyo hiyo.
View attachment 3201486
Ujielewi mkuu,mfano hauendani kabisa, jamaa amesema inavyooneka huenda dereva alikuwa mwendo mkaliUnaweza kusema it seems Magufuli yupo hai?
Na ili ni tatizo kubwa sana kwenye nchi yetu watu hawachukui tahadhari matokeo yake ndo kama ivoHaya ndio madhara ya watu kukusanyika zitokeapo ajali. Unakuta waokoaji wachache ila kundi kubwa wanashangaa na kupiga picha.
Pia usingizi,hao jamaa wanalala sana yaani dereva wa lorry kulala barabarani akiwa anaendesha ni pipa na mfunikodereve wa lori it seems alikuwa si kawaida/speed kubwa