Tanga: Lorry laua watu 10 waliokwenda kushuhudia ajali Segera

Doh, hii speed kwenye picha sijui umeionaje, au una macho ya Kiroho?
Inamaana bila speed angeweza kuwaona watu hao akashika break hata akatembea kwa speed 30 mpaka 20 ili avuke eneo la tukio
 
Watu wameshabeba chao,kaangusha kadogo akajua mtajileta tu barabarani awafyeke vzur

Magar makubwa yenye watu wengi yamemshinda
 
Dah,wamekufa kifo cha maumivu makali sana, naogopa sana kifo cha ajali Mungu atuepushie kwakweli,roho inatoka kwa maumivu makali, wema wao wakutaka kutoa msaada umewaghalimu uhai. Walale pahala pema insh.
Wengine hawana wema wanafika wanawavua hadi saa na mikanda waliyovaa majeruhi yaan watu wengine ni makatili zinapotokea ajali ni basi tu
 
Ajali zina hulka ya kualikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…