Tanga: Mbunge wa Lushoto na Mwenyekiti wa Halmashauri wadaiwa kuwindana kwa Risasi

Hatari sana ubunge na mbunge.... !
 
raha sana MACCM yakigombana yenyewe kwa yenyewe!!!
 
Wache wauane wenyewe na hiyo ndio dhambi ya ubaguzi
 
Hao vijana waache wabaki hivyo hivyo sababu hawajielewi
 
Huyu Shekilindi si ndio alikuwa akisambaza kadawa fulani hivi wakati wa UVIKO 19?
 
Hatuna kazi na ichochama... Wafanye wawezavyo maana wanagombea matumbo Yao zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…