Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Wapunguze kula mihogo mibichi. Mihogo yote duniani (manihot utilissima and manihot esculenta) ina hiyo kemikali ila ukichemsha unaiua/unaiharibu hiyo kemikali. Uvivu wa kupika usitumike kuharibu biashara za watu.Wadau hamjamboni nyote?
Wakazi wengi Tanga wameathirika macho yao kutokana na ulaji mkubwa wa mihogo