U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 4,274 Reaction score 9,326 Apr 8, 2025 #1 Wadau hamjamboni nyote? Wakazi wengi Tanga wameathirika macho yao kutokana na ulaji mkubwa wa mihogo Attachments 50 ya wakazi waliohudhuria kambi ya macho... Instagram.mp4 10.4 MB
P palesho JF-Expert Member Joined Mar 31, 2023 Posts 738 Reaction score 882 Apr 8, 2025 #2 Uzalendo wa Kitanzania said: Wadau hamjamboni nyote? Wakazi wengi Tanga wameathirika macho yao kutokana na ulaji mkubwa wa mihogo Click to expand... Wapunguze kula mihogo mibichi. Mihogo yote duniani (manihot utilissima and manihot esculenta) ina hiyo kemikali ila ukichemsha unaiua/unaiharibu hiyo kemikali. Uvivu wa kupika usitumike kuharibu biashara za watu.
Uzalendo wa Kitanzania said: Wadau hamjamboni nyote? Wakazi wengi Tanga wameathirika macho yao kutokana na ulaji mkubwa wa mihogo Click to expand... Wapunguze kula mihogo mibichi. Mihogo yote duniani (manihot utilissima and manihot esculenta) ina hiyo kemikali ila ukichemsha unaiua/unaiharibu hiyo kemikali. Uvivu wa kupika usitumike kuharibu biashara za watu.