Tanga Mjini ni pagumu sana aisee

Nauri❌ nauli☑️
 
Kwanini usifanye uchinga wa kutembelea mtaani
 
Nenda dodoma boss kule chamwino, sema moja inaitwa uyumbi utapata connection za Kazi kule
 
Pole sana kamanda, hapo ni sehemu ya kula Bata weekend, Tanga na Mombasa.
Lakini kwasasa naona maeneo ya bandarini kuko busy jaribu kupitapita pale karibu na geti la kuingilia bandarini kuna makampuni mengi naona pale kwenye project ya bomba.
 
Unazeeka kwenye umaskini. Huo mji wanaouenjoy ni wafanyakaz wa serikalin/makampuni, wahindi, waarabu(baadhi) na wachaga baadhi wenye maduka ya nguo.
White collar jobs sawa, ila kuna vitu vingi tu Tanga vinalipa Traditional, hasa Kilimo cha Nazi, popoo, Uvuvi, Matunda, Usafiri etc.

Kuna watu nawajua wana Vidau tu na siku nzuri mpaka 10M mtu anafunga.
 
Tafta kamtaji uuze mabaibui utapiga pesa japo sio kirahisi ila ukikomaa uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…