Tanga Mjini ni pagumu sana aisee

Tanga Mjini ni pagumu sana aisee

Nipo Tanga kama siku ya tano hivi nikitokea Moshi, aisee Jiji limepoa kishenzi kama Singida yani sijaona ujenzi mkubwa unaoendelea hapa hata wagorofa tatu, na kwenye viwanda tulimopita kuomba kazi na msela wangu napo kazi hamna. Sijui watu wa hili jiji wanaishije hata hivyo Kwakua Sina nauri ngoja niendelee kupamba labda nitapa kazi

NB:NILIKUWA TANGA KWAAJILI YA KUTAFUTA KAZI NGUMU ZA UJENZI NA VIWANDANI KAMA KAWAIDA YANGU KAMA KUNA MTU MWENYE CONNECTION ANIPE.
Nauri❌ nauli☑️
 
Kwanini usifanye uchinga wa kutembelea mtaani
 
Nenda dodoma boss kule chamwino, sema moja inaitwa uyumbi utapata connection za Kazi kule
 
Pole sana kamanda, hapo ni sehemu ya kula Bata weekend, Tanga na Mombasa.
Lakini kwasasa naona maeneo ya bandarini kuko busy jaribu kupitapita pale karibu na geti la kuingilia bandarini kuna makampuni mengi naona pale kwenye project ya bomba.
 
Unazeeka kwenye umaskini. Huo mji wanaouenjoy ni wafanyakaz wa serikalin/makampuni, wahindi, waarabu(baadhi) na wachaga baadhi wenye maduka ya nguo.
White collar jobs sawa, ila kuna vitu vingi tu Tanga vinalipa Traditional, hasa Kilimo cha Nazi, popoo, Uvuvi, Matunda, Usafiri etc.

Kuna watu nawajua wana Vidau tu na siku nzuri mpaka 10M mtu anafunga.
 
Nipo Tanga kama siku ya tano hivi nikitokea Moshi, aisee Jiji limepoa kishenzi kama Singida yani sijaona ujenzi mkubwa unaoendelea hapa hata wagorofa tatu, na kwenye viwanda tulimopita kuomba kazi na msela wangu napo kazi hamna. Sijui watu wa hili jiji wanaishije hata hivyo Kwakua Sina nauri ngoja niendelee kupamba labda nitapa kazi

NB:NILIKUWA TANGA KWAAJILI YA KUTAFUTA KAZI NGUMU ZA UJENZI NA VIWANDANI KAMA KAWAIDA YANGU KAMA KUNA MTU MWENYE CONNECTION ANIPE.
Tafta kamtaji uuze mabaibui utapiga pesa japo sio kirahisi ila ukikomaa uhakika
 
Back
Top Bottom