Tanga mkawashtaki Google kwa udhalilishaji huu

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
Aisee nimepigwa na butwaa kule google ukitafuta "Utopolo fc" matokeo yanayoletwa ni Young African sports club!!

Kama Mimi nadanganya basi gugo na Wewe!!..
Pamoja na Kwamba Mimi ni Simba ila nimeumia sana maana Kila jina la utani la simba nikiweka halileti!!

Utopolo bhana!
 
Ni kweli kbsa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Google na hii
Screenshot_20220920-173910.jpg
 
hapana hilo jina walijiita wenyewe na muanzilishi ni yule anyevaaa miwani mikuubwa na kutembea na midoli wanamuita mashaka a.k.a general uto, huko kuna kitengo cha kutunga majina hata zeruzeru ndiye kaziyake kwa sasa
 
Aisee nimepigwa na butwaa kule google ukitafuta "Utopolo fc" matokeo yanayoletwa ni Young African sports club!!

Kama Mimi nadanganya basi gugo na Wewe!!..
Pamoja na Kwamba Mimi ni Simba ila nimeumia sana maana Kila jina la utani la simba nikiweka halileti!!

Utopolo bhana!
Hebu tafuta na manyonyo fc ndio utashangaa zaidi.
 
Aisee nimepigwa na butwaa kule google ukitafuta "Utopolo fc" matokeo yanayoletwa ni Young African sports club!!

Kama Mimi nadanganya basi gugo na Wewe!!..
Pamoja na Kwamba Mimi ni Simba ila nimeumia sana maana Kila jina la utani la simba nikiweka halileti!!

Utopolo bhana!
[emoji23][emoji23][emoji23]..

Embutudi tena alafu kaandike "mwanafunzi wa chuo kikuu" alafu urudi hapa

Hii Google hapo naiona inafeli sana..

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Aisee nimepigwa na butwaa kule google ukitafuta "Utopolo fc" matokeo yanayoletwa ni Young African sports club!!

Kama Mimi nadanganya basi gugo na Wewe!!..
Pamoja na Kwamba Mimi ni Simba ila nimeumia sana maana Kila jina la utani la simba nikiweka halileti!!

Utopolo bhana!
mnanichanganya, ni gugo au gugu in amos's voice
 
Aisee nimepigwa na butwaa kule google ukitafuta "Utopolo fc" matokeo yanayoletwa ni Young African sports club!!

Kama Mimi nadanganya basi gugo na Wewe!!..
Pamoja na Kwamba Mimi ni Simba ila nimeumia sana maana Kila jina la utani la simba nikiweka halileti!!

Utopolo bhana!
Mkuu inaelekea hujui google inafanyaje kazi.
 
Moderator title ni YANGA sio Tanga

Nitafurahi sana kama hao Moderator wakiacha kubadili chochote, ili hilo neno libakie hivyo hivyo kuwa Tanga!

Muda huu nimeshaanza kuwakusanya Wazee wenzangu wa Tanga ili tukawashtaki hao google! Moderator, tafadhali msibadili kichwa cha habari.

Huu uzi unatuhusu watu wa Tanga bila shaka.
 
Back
Top Bottom