Tanga mkawashtaki Google kwa udhalilishaji huu

Tanga mkawashtaki Google kwa udhalilishaji huu

Nitafurahi sana kama hao Moderator wakiacha kubadili chochote, ili hilo neno libakie hivyo hivyo kuwa Tanga!

Muda huu nimeshaanza kuwakusanya Wazee wenzangu wa Tanga ili tukawashtaki hao google! Moderator, tafadhali msibadili kichwa cha habari.

Huu uzi unatuhusu watu wa Tanga bila shaka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Yaw yaw!![emoji13][emoji13]
Screenshot_20220920-131854_Google.jpg
 
Nitafurahi sana kama hao Moderator wakiacha kubadili chochote, ili hilo neno libakie hivyo hivyo kuwa Tanga!

Muda huu nimeshaanza kuwakusanya Wazee wenzangu wa Tanga ili tukawashtaki hao google! Moderator, tafadhali msibadili kichwa cha habari.

Huu uzi unatuhusu watu wa Tanga bila shaka.
Mnaonaje mkawapiga ule uchawi maarufu wa zaiko (siyo langalanga) wapate uchizi wote, ingependeza zaidi.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Active title ya Uzi hapo kwenye Tanga Ni Yanga aka Utopolo Fc,

Kama nilivyotoa huko Google
Mbona hambadilishi
 
Back
Top Bottom