Amigoh JF-Expert Member Joined May 15, 2016 Posts 2,045 Reaction score 2,975 Sep 21, 2022 #21 Tate Mkuu said: Nitafurahi sana kama hao Moderator wakiacha kubadili chochote, ili hilo neno libakie hivyo hivyo kuwa Tanga! Muda huu nimeshaanza kuwakusanya Wazee wenzangu wa Tanga ili tukawashtaki hao google! Moderator, tafadhali msibadili kichwa cha habari. Huu uzi unatuhusu watu wa Tanga bila shaka. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Tate Mkuu said: Nitafurahi sana kama hao Moderator wakiacha kubadili chochote, ili hilo neno libakie hivyo hivyo kuwa Tanga! Muda huu nimeshaanza kuwakusanya Wazee wenzangu wa Tanga ili tukawashtaki hao google! Moderator, tafadhali msibadili kichwa cha habari. Huu uzi unatuhusu watu wa Tanga bila shaka. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
sundoka JF-Expert Member Joined Oct 9, 2011 Posts 2,067 Reaction score 2,759 Sep 21, 2022 #22 Yaw yaw!![emoji13][emoji13]
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Sep 21, 2022 #23 Tate Mkuu said: Nitafurahi sana kama hao Moderator wakiacha kubadili chochote, ili hilo neno libakie hivyo hivyo kuwa Tanga! Muda huu nimeshaanza kuwakusanya Wazee wenzangu wa Tanga ili tukawashtaki hao google! Moderator, tafadhali msibadili kichwa cha habari. Huu uzi unatuhusu watu wa Tanga bila shaka. Click to expand... Mnaonaje mkawapiga ule uchawi maarufu wa zaiko (siyo langalanga) wapate uchizi wote, ingependeza zaidi. Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Tate Mkuu said: Nitafurahi sana kama hao Moderator wakiacha kubadili chochote, ili hilo neno libakie hivyo hivyo kuwa Tanga! Muda huu nimeshaanza kuwakusanya Wazee wenzangu wa Tanga ili tukawashtaki hao google! Moderator, tafadhali msibadili kichwa cha habari. Huu uzi unatuhusu watu wa Tanga bila shaka. Click to expand... Mnaonaje mkawapiga ule uchawi maarufu wa zaiko (siyo langalanga) wapate uchizi wote, ingependeza zaidi. Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
CK Allan JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 2,781 Reaction score 6,139 Sep 21, 2022 Thread starter #24 Active title ya Uzi hapo kwenye Tanga Ni Yanga aka Utopolo Fc, Kama nilivyotoa huko Google Mbona hambadilishi
Active title ya Uzi hapo kwenye Tanga Ni Yanga aka Utopolo Fc, Kama nilivyotoa huko Google Mbona hambadilishi