Tanga, Mwakidila: Kijana auawa baada ya kuiba Mbuzi

Tanga, Mwakidila: Kijana auawa baada ya kuiba Mbuzi

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Na huku Tanga Mwakidila/Mwahako, kijana mmoja amepigwa na kufa hapo hapo baada ya kuiba mbuzi. The other day, aliiba Ng'ombe mwenye mimba lakini akaponyoka. Jana akamuiba Mbuzi wa mkazi mmoja, akamnyonga mbuzi na kumla ndipo wananchi wenye hasira kali wakafanikiwa kumkamata na kumuua.

Wenzake wamekimbia.
 
Na huku Tanga Mwakidila/Mwahako, kijana mmoja amepigwa na kufa hapo hapo baada ya kuiba mbuzi. The other day, aliiba Ng'ombe mwenye mimba lakini akaponyoka. Jana akamuib Mbuzi wa mkazi mmoja, akamnyonga mbuzi na kumla ndipo wananchi wenye hasira kali wakafanikiwa kumakamata na kumuua. Wenzake wamekimbai.....
Mkubwa..... Tulia kwanza ndiyo uandike!!
 
Niwie radhi..... Sikujua kama Akamuib, kumakamata, wamekimbai ni kiwahili fasaha!
Context is home and dry! haya ya spellings achana nayo as long as context umeipata (kawaida yangu hapa JF huwa sihangaiki na typo errs!)! sifanyagi proofreading and if done is lightly done). Nimerekebisha asante! Enjoy your day anyway!
 
Wadigo nao wanaua wezi siku hizi...
 
Na huku Tanga Mwakidila/Mwahako, kijana mmoja amepigwa na kufa hapo hapo baada ya kuiba mbuzi. The other day, aliiba Ng'ombe mwenye mimba lakini akaponyoka. Jana akamuiba Mbuzi wa mkazi mmoja, akamnyonga mbuzi na kumla ndipo wananchi wenye hasira kali wakafanikiwa kumkamata na kumuua. Wenzake wamekimbia.

Waafrika wanakwama wapi jamani!! Mbona mauwaji yamezidi kupita kiasi!!! Huu ukatili utaisha lini kwa watu weusi jamani!!! Ingawa wengine wanajitambuwa
 
Back
Top Bottom