Mkubwa..... Tulia kwanza ndiyo uandike!!Na huku Tanga Mwakidila/Mwahako, kijana mmoja amepigwa na kufa hapo hapo baada ya kuiba mbuzi. The other day, aliiba Ng'ombe mwenye mimba lakini akaponyoka. Jana akamuib Mbuzi wa mkazi mmoja, akamnyonga mbuzi na kumla ndipo wananchi wenye hasira kali wakafanikiwa kumakamata na kumuua. Wenzake wamekimbai.....
Tatizo ni nini? Nin kisichoeleweka......Mkubwa..... Tulia kwanza ndiyo uandike!!
Niwie radhi..... Sikujua kama Akamuib, kumakamata, wamekimbai ni kiwahili fasaha!Tatizo ni nini? Nin kisichoeleweka......
Context is home and dry! haya ya spellings achana nayo as long as context umeipata (kawaida yangu hapa JF huwa sihangaiki na typo errs!)! sifanyagi proofreading and if done is lightly done). Nimerekebisha asante! Enjoy your day anyway!Niwie radhi..... Sikujua kama Akamuib, kumakamata, wamekimbai ni kiwahili fasaha!
Exactly! Mijizi ya kura akina MahelaChaaaa!!
Mngeuwaga hata wezi wa kura jamani.
Na huku Tanga Mwakidila/Mwahako, kijana mmoja amepigwa na kufa hapo hapo baada ya kuiba mbuzi. The other day, aliiba Ng'ombe mwenye mimba lakini akaponyoka. Jana akamuiba Mbuzi wa mkazi mmoja, akamnyonga mbuzi na kumla ndipo wananchi wenye hasira kali wakafanikiwa kumkamata na kumuua. Wenzake wamekimbia.
[emoji23][emoji23][emoji23]Niwie radhi..... Sikujua kama Akamuib, kumakamata, wamekimbai ni kiwahili fasaha!
Hata sijui pepo gani huyu, wadigo tulikuwa waungwana sana!!Wadigo nao wanaua wezi siku hizi...
Naona uchawi wa kuloga wezi umewaishia sasa mmeamua kuua live.Hata sijui pepo gani huyu, wadigo tulikuwa waungwana sana!!
AlbadirNaona uchawi wa kuloga wezi umewaishia sasa mmeamua kuua live.
Hao wana full protection ya SirroChaaaa!!
Mngeuwaga hata wezi wa kura jamani.
Tutatukanwa mwaka huu hata kama hatuna hatiaNiwie radhi..... Sikujua kama Akamuib, kumakamata, wamekimbai ni kiwahili fasaha!