Tanga ni chimbo la CCM lakini hakuna cha maana kitu kutoka CCM

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Nimegundua kitu kimoja muhimu. Mikoa yote ambayo CCM imetamalaki majimbo yote kwa 100%, sio kipaumbele cha serikali kwenye kupeleka na kumaliza miradi ya maendeleo kulinganisha na mikoa ambayo wapinzani wameshika baadhi ya majimbo ya mikoa hiyo. Mifano ni mingi sana.

Kwanini imekuwa hivyo?
 
Mikoa gani ambayo upinzani imeshika majimbo unayozungumzia?
 
Tanganian
 
Mikoa gani ambayo upinzani imeshika majimbo unayozungumzia?
CCM wanajua kabisa walichofanya 2020, ukweli wanajua ni mikoa gani walipoteza bali kwa amri ya yule mwovu wakapora ushindi , hivyo wanaelewe sehemu ambayo wanakubalika na sehemu ambazo hawakubaliki, sasa sehemu kama Tanga, Dodoma, Pwani wanajua ni kuku wao hawahitaji manati hivyo hata wasipopeleka maendeleo misukule yao inawakubali tu.
 
Mikoa yenye nyumbu wengi hiyo
 
Ulitaka CCM iwagawie pesa au? Hakuna kitu kipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…