ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Boti za Kisasa za Uvuvi 35 na kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Daraja la Mto Pangani na Barabara ya Bagamoyo, leo tarehe 25 Februari, 2025.
Rais Samia Suluhu Hassan azindua boti 29 za uvuvi na boti 50 za kilimo cha mwani wilayani Pangani Mkoa wa Tanga, ikiwa ni sehemu ya ziara yake mkoani humo.
Thamani ya boti hizo ni shilingi bilioni 14.4, ikiwa ni awamu ya pili ya mradi huo.
Kazi nzuri ya Samia haihitaji tochi kuona.