ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Sijajua maana picha imetumwa jion hii ila nahisi itapungua so mabus ya dar songea yalipita...ila lile daraja wachina walibugi au Kama walizingatia kweli data za ki hydrological bas itakuwa NI mvua TU kubwa maana ndo kipindi Cha high flow....na mito yote kuanzia masasi mpk mbinga inamwaga ruvuma river ila uzuri mafuriko sio rahisi kwenye downstream za huko chini kuelekea msumbiji...ishu kubwa ipo kilwa njinjo na hapa mafuriko karibu na mtua kiwalala pale pana kabonde flan Cha ajabu maji yakijaa mtoni yakafunika gauge namba nne au tano aloo lazima flood itokeehatar tupu jmani! Maisha vipi hapo wamesalimika? Mali?