ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Sijajua maana picha imetumwa jion hii ila nahisi itapungua so mabus ya dar songea yalipita...ila lile daraja wachina walibugi au Kama walizingatia kweli data za ki hydrological bas itakuwa NI mvua TU kubwa maana ndo kipindi Cha high flow....na mito yote kuanzia masasi mpk mbinga inamwaga ruvuma river ila uzuri mafuriko sio rahisi kwenye downstream za huko chini kuelekea msumbiji...ishu kubwa ipo kilwa njinjo na hapa mafuriko karibu na mtua kiwalala pale pana kabonde flan Cha ajabu maji yakijaa mtoni yakafunika gauge namba nne au tano aloo lazima flood itokeehatar tupu jmani! Maisha vipi hapo wamesalimika? Mali?
asante kwa ufafanuzi. Umenikumbusha Njinjo , nimekaa kule miaka ya 1971.. nikitokea Mitole Primary school! Mtu Marandu??? Mtandu likuwa unajaa mpaka tunashindwa kwensa Kipatimu, it was terrible!ipo kilwa njinjo
labda tujaribu kwa Bluetooth mkuuTatizo Dar mnalima sasa, mvua mnaiangalia tu....kungekuwa na uwezo ingehamisiwa labda Morogoro.
Itakua alitaka kusema Alhamdulillah sijui ndo inaandikwa hivyoSamahan retired unajua maana ya insha'Allah au umetype tu
Nilipita before last week kwenda Mombasa nilijioneasisis tulikuwa tunakufa kwa joto na ukame wa wanyama na watu
Lugha za watu hizo siyo issue sana alimradi ameeleweka kwamba location aliyopo maji yameshuka leo.Samahan retired unajua maana ya insha'Allah au umetype tu
Mshukuruni Mwalimu Mwakasege!Tanga: Ukame ulikuwa unatishia maisha ya watu namifugo. Sasa hivi at 8. 30 inanyesha mvua kubwa ya kutosha kwa leo. Radi, ngurumo kama kawa. Hatujui kma itaendelea au ndiyo inachombeza tu.
Huko kwenu vipi?
amenirekebisha anyway! But the context is home and dry as you have put it!Lugha za watu hizo siyo issue sana alimradi ameeleweka kwamba location aliyopo maji yameshuka leo.
Hakuna la ziada nyengine mbwembwe tu!
Hapana, jana tuliuwa na ndumbayeye Udigoni ya kuleta mvuaMshukuruni Mwalimu Mwakasege!
Tumeivisha maharage na mahindiTanga: Ukame ulikuwa unatishia maisha ya watu namifugo. Sasa hivi at 8. 30 inanyesha mvua kubwa ya kutosha kwa leo. Radi, ngurumo kama kawa. Hatujui kma itaendelea au ndiyo inachombeza tu.
Huko kwenu vipi?
Waanze kwa AlhamdulillahNoted. Basi nitaomba mods wanirekebishei kwa neno lipi la islam
Ndiye nani huyo.....Mungu??!Mshukuruni Mwalimu Mwakasege!
Mavuji nayo Imejaa mpk inasoma gauge ya nne 4.10 m kituo kipo mchakaaasante kwa ufafanuzi. Umenikumbusha Njinjo , nimekaa kule miaka ya 1971.. nikitokea Mitole Primary school! Mtu Marandu??? Mtandu likuwa unajaa mpaka tunashindwa kwensa Kipatimu, it was terrible!
Mkuu upo TA MkuuTanga: Ukame ulikuwa unatishia maisha ya watu namifugo. Sasa hivi at 8. 30 inanyesha mvua kubwa ya kutosha kwa leo. Radi, ngurumo kama kawa. Hatujui kma itaendelea au ndiyo inachombeza tu.
Huko kwenu vipi?
Wewe unamjua mandondo tu!Ndiye nani huyo.....Mungu??!
Au alhamdullillahASANTE SANA, NOTED WITH THANKS
Imenyesha tanga sehemu gani?Kwa mapenzi ya Mungu tumepata mvua.....
Mbeya Muda huu imeanza kama kawaida yake usiku!Tanga: Ukame ulikuwa unatishia maisha ya watu namifugo. Sasa hivi at 8. 30 inanyesha mvua kubwa ya kutosha kwa leo. Radi, ngurumo kama kawa. Hatujui kma itaendelea au ndiyo inachombeza tu.
Huko kwenu vipi?
Nimetoka Mbezi Mwisho kupitia Kimara-Mawasiliano-Mwenge kote kuna mvua kubwa ilikuwa inanyesha.Kwa hiyo anadanganya. jana niliongea na kijana wangu Dar anasema kameparaza tu si mvua ya maana