Tanga Twadeka - Mawaziri wanne! 2030 InshaAllah!

Tatizo kuna mikoa hata watoe Raisi inakuwa nyuma tu kimaendeleo sababu ya aina ya watu wa hiyo mikoa kama ya Tanga ,Dodoma,Pwani,Mara,Pemba,Kigoma ,Ruvuma,Iringa na Mtwara hata wapewe baraza zima la mawaziri na Raisi kwa mpigo hamna kitu utaiona iko chini tu kimarndeleo
 
Wewe Bado una kiwango kikubwa sana Cha ujinga.Ukitoa Kigoma sijawahi sikia Mikoa Mingime ni maskini, yaani Mikoa Maskini imebakia..

Hata Kigoma is no more kwenye umaskini Kwa Sasa
 
Nchi hii awamu ya Sita mikoa yenye miradi ya maendeleo mikubwa kwa sasa Kigoma na Ruvuma wana miradi mingi hadi kero, kigoma miaka miwili ijayo itakua imefunguka yote na waha nawaamini wanapiga kazi kwelikweli miaka mitano mbele watatafutwa kwa tochi, Tanga wana kila sababu ya kuendelea zaidi kwani bandari, viwanda, ardhi yao ina rutba sana wanahitaji tu kuongeza uchapa kazi, Dodoma imebebwa na serikali hivo usikariri maana kwa sasa wanakimbia sio haba, Iringa naona haina shida maana inakimbia muda mrefu sana , Pwani kwa sasa ni habari nyingine hata kwenye uchangiaji wa pato la Taifa imeziacha mwanza na mbeya maana pwani wana 60% ya viwanda vyote Tanzania tena vikubwa, Mara na Mtwara huko ndio wamelala japo nafasi ya kusonga mbele wanayo, lakini ufisadi kwenye mikoa ya mara na mtwara imekua kansa ya kufifisha maendeleo kwenye hayo maeneo,
 
Wewe Bado una kiwango kikubwa sana Cha ujinga.Ukitoa Kigoma sijawahi sikia Mikoa Mingime ni maskini, yaani Mikoa Maskini imebakia..

Hata Kigoma is no more kwenye umaskini Kwa Sasa

Ndio nimemchambulia hapo Ruvuma na Kigoma wana project kubwa kubwa sana toka awamu ya tano hii ya sita ndio hatari sana , hiyo mikoa watu hawaisemi lakini inafukuza kimya kimya
 
Back
Top Bottom