Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Kuwachinjia Ngamia na Kondoo siku za Iddi ni jambo jema, lakini haliishi!1. Ummy - Afya,
2. Awesso - Maji,
3. Mwinjuma - Michezo,
4. Makamba - Nishati
Wawasaidie kwenye Elimu na Afya, Mkoa kama Kilimanjaro ulifanikiwa kwa sababu Viongozi wengi waliotokea huko hasa enzi za Nyerere, Mwinyi na Mkapa walijikita katika kutatua changamoto hasa za Elimu na ndio sababu mchaga katika kila sekta hapa nchini yupo, kwa sababu viongozi kutoka huko Elimu ilikuwa Kipaumbele.