Tanga Twadeka - Mawaziri wanne! 2030 InshaAllah!

1. Ummy - Afya,
2. Awesso - Maji,
3. Mwinjuma - Michezo,
4. Makamba - Nishati
Kuwachinjia Ngamia na Kondoo siku za Iddi ni jambo jema, lakini haliishi!
Wawasaidie kwenye Elimu na Afya, Mkoa kama Kilimanjaro ulifanikiwa kwa sababu Viongozi wengi waliotokea huko hasa enzi za Nyerere, Mwinyi na Mkapa walijikita katika kutatua changamoto hasa za Elimu na ndio sababu mchaga katika kila sekta hapa nchini yupo, kwa sababu viongozi kutoka huko Elimu ilikuwa Kipaumbele.
 
Mkoa wa Arusha hakuna Waziri, Kilimanjaro Waziri ni mmoja na Manyara kuna Naibu Waziri, maza ni mdini sn
 
Pwani vs mwanza?🤔
 
Shinyanga yupo naibu waziri
 
Shinyanga kuna Katambi
Simiyi kuna Kundo! Yupo chini ya Nape
 
Mkoa wa Tanga Twadeka tumitoa Mawaziri wanne
1. Ummy - Afya,
2. Awesso - Maji,
3. Mwinjuma - Michezo,
4. Makamba - Nishati.

NB: Inshallah 2030 tutamileteeni Kiongozi mkubwa zaidi.
Kiukweli hao wote ni mizigo, hasa huyo namba 4, ni zigo la misumari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…