Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Viongozi 10 na wanachama 78 wa CHADEMA mkoa wa Tanga wametangaza kujiondoa kwenye chama hicho, huku hawaelezi wanakwenda kujiunga na chama gani licha ya kuendelea kuwepo kwenue siasa.
Viongozi na wanachama hao walitangaza uamuzi huo leo Mei 18, 2025.
Viongozi hao ni Katibu Bawacha Mkoa wa Tanga,Fatuma Mahine, Katibu wa BAZECHA na mjumbe wa mkutano mkuu taifa kutoka mkoa wa Tanga, Abdalah Msembe.
Katibu wa BAZECHA Kanda na Wilqya ya Tanga ambaye pia ni mjumbe wa mkutano mkuu taifa, Juma Abdalah.
Mjumbe wa Kamati ya Mafunzo Kanda ya Kaskazini, Zainab Ashraff, Mjumbe wa BAWACHA Tanga, Mwanamkuu Jumbe, Katibu wa BAZECHA Wilaya ya Tanga, Juma Abdalah.
Wengine ni Mwenyekiti wa BAZECHA Wilaya Tanga, Hashim Mwakalemba,Wajumbe wa Kamati Tendaji Tanga, Said Ally na Hussein Ally.
Soma pia Pre GE2025 - CHADEMA yaendelea kupukutika, Wanachama wengine zaidi ya 100 wajivua Tabora