Tanga waikatae CCM?

Tanga waikatae CCM?

Kwa
CCM ina tabia ya kupeleka miradi mikubwa pale ambako wanakataliwa au Kuna dalili ya kukataliwa. Tanga na wilaya zake ni chimbo la CCM kwa karne na karne, hawana hofu ya kukataliwa hivyo hawapeleki miradi ya maana Tanga.

Tanga hakuna mradi hata mmoja wa umwagiliaji ingawa Kuna wakulima wengi. Tangu hasa kule Handeni ndivyo wilaya ambayo hakuna maji hakuna mito Wala mabwawa lakini CCM haipeleki maji ya mabwawa, bomba Wala kuchimba visima. Kata hazina vituo vya afya kama sera yao inavyosema, kata hazina vituo vya polisi Wala mahakama, hakuna shule za wasichana za bweni kama mikoa na wilaya nyingine; hakuna mradi wa maana Tanga na wilaya zake zote.

Tanga Tanga Tanga kunani? Tanga Wana kasoro gani kwenye kufikiria? au ni kwasababu ya kula sana viporo vya ugali wa mahindi?
Ninayojionea Tanga aisee huu mkoa Una watu wapumbavu na wajinga sijawahi kuona! Wapumbavu na wasiletewe tu kwa upumbavu wao wa kuikumbatia Ccm
 
Kwa
Ninayojionea Tanga aisee huu mkoa Una watu wapumbavu na wajinga sijawahi kuona! Wapumbavu na wasiletewe tu kwa upumbavu wao wa kuikumbatia Ccm
Umesema ukweli mkubwa sanaaa TANGA imejaa watu wapumbavu sanaaa na Tanga ukiwa huna hata ubongo unaweza kuwaongoza wakishashiba mihogo ni vibarazani kimnyaaa,

Mkoa badala ya kuendelea unazidi kuchakaa vibaya mnoo ,

Bara bara za mjini Tanga ni kinyaa hakuna Meya? Hakuna mbunge? Hakuna madiwani? Hiyo Pangani road aisee aisee kama mahandani ya m23 ,

Hakuna wa kuhoji mji umedumaa unanuka shida ,wenyewe wamelala tu hawajali
 
Back
Top Bottom