Kinachowatofautisha wanawake wa Tanga (hasa wadigo) na wanawake wengine ni Jiko plus Kauli.Sijawah kwenda raskazone ngoja siku nijaribu
Sema nyie watu wa Tanga mna balaa sana, mpewe pia mbingu yenu.Sijawah kwenda raskazone ngoja siku nijaribu
Upatikanaji wa rasilimali mademu upoje maeneo hayo?Kiukweli sisi tunaopenda maisha ya pwani Tanga ni patamu mnoo.
Unavyopenda wewe ngono zembe unajua na wengine wanapenda kurisk afya zao kwa starehe za dakika chache?Nimesoma kwa makini sana ila sijaona mahali unasema uliopoa dem hilo limenisikitisha sana..unamchango mdogo sana katika taifa
Wacha weeh 😹Kinachowatofautisha wanawake wa Tanga (hasa wadigo) na wanawake wengine ni Jiko plus Kauli.
Jiko: Sehemu yoyote aliyopita mwarabu basi hiyo sehemu kwa mapishi itakuwa hatari!!!
Kauli: Ukitaka utulivu wa akili plus mdeko mtafute mtoto wa kidigo!! Wanajua kudekeza watoto wale!!Siyo mbaya hata kama unahonga coz tunahitaji utulivu wa akili.
Ufundi wa kitanda:Wanawake wa kusini na wachache wa pwani wanafundwa sana kwenye lile tendo lakini wanapigwa gape kwenye kauli plus jiko (Mahaba)!!!!!
Mwanamke hata akiwa mzuri sana kitandani kisha ana upungufu mkubwa wa kauli plus jiko inahitaji moyo mkubwa kumvumilia kama wao wanavyopata ugumu kumvumilia mwanaume asiyekuwa na pesa!!
Nb: Ni mtazamo wangu!!!!!!!!!!!!
Nyie ndo mnakufaga hovyo kwenye mikoa ya watu..!! Mwenzio ameenda kikazi hajaenda kufanya uzinzi ana mkewe nyumbani..!!Hujatomba?
Jinga kabisa
Ujinga mtupu 🚮Safi sana umeipangilia vzr sana story yako.
Mwaka 2024 nilikuwepo hapo , nilipata toto moja lina msambwanda wa kwenda jeupe peee,, basi nilijipakulia siku mbili mfululizo, ilibaki kidogo niombe ruhusa kazini.
Mitaa ya kitajiri hiyo wiiSijawah kwenda raskazone ngoja siku nijaribu
SAwaUjinga mtupu 🚮
Raskazone kama unapenda kuogelea ni pazuri, nilikuta wanafunzi wengi wanaogelea nikatoka nikaenda JetSijawah kwenda raskazone ngoja siku nijaribu
Uache uzinziSAwa
Hahaa, nili enjoy sana kitu cha Tanga siku zote nilizokuepo"nikamuagiza cha Arusha"
Tuendelee Kuishi Na Kush...Hayo Maneno Yameipendezesha Mnoo Stori...Na Nimefarijika Vibaya Mnoo
God is good kumbe na mimi kuna mtu anani admire hapa jamvini💟💟💟Unajua huwa naku-admire sana humu jukwaani. Nilivyoona uzi wako nikatulia nisome kwa umakini ili nikushushe vyeo kutokana na tabia za huo mkoa na wengi wanavyousifia kwa ngono..!!
Lakini God is good nilichokitegemea ndicho nilichokutana nacho.
Mkuu wewe unajiheshimu sana katika member watatu wenye adabu na wewe humo.. unajua nini unachofanya..!!
Sio kama mitaahira mingi humu..
Ingekuwa wengine uzi mzima ungejaa ulivyombinua mwanamke na kumpelekea moto. Tungedhalilishwa hapa na uongo tungetungiwa..!! 😹😹
Yes Mkuu, kitu kingine nilisahau mji wao ni msafi sana, majuzi nilikua moshi wanaposema pasafi ila Tanga mjini hawana mpinzani
Bila kupiga mbunye huu uzi ufutweUache uzinzi