Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 2,637
- 8,057
- Thread starter
- #61
Nilitajiwa ila sikufika, mwezi ujao nitaenda huko nitapata nafasi ya kutembea maeneo mengine piaHukufika hapa BenBistro
Nilitajiwa ila sikufika, mwezi ujao nitaenda huko nitapata nafasi ya kutembea maeneo mengine piaHukufika hapa BenBistro
Naskia mwanamke wa kitanga akikukamata huchomoki lo ni kweli???
Siyo kweli sweetheart...Naskia mwanamke wa kitanga akikukamata huchomoki lo ni kweli???
Sante sana kwa mwongozo !Siyo kweli sweetheart...
Born for nothing yaani kiufupi upo duniani without no reasonUnavyopenda wewe ngono zembe unajua na wengine wanapenda kurisk afya zao kwa starehe za dakika chache?
Kabisa, Nina jamaa yangu mtanga lafudhi yake BURUDANI hasaMkuu umeutendea "Waja Leo" haki. Kuna kitu kimoja cha kuongeza. Kwa maoni YANGU: lafudhi ya Kiswahili cha Tanga hapa Afrika Mashariki ndiyo NAMBARI MOJA
Kwamba Wewe mzinzi una umuhimu?Born for nothing yaani kiufupi upo duniani without no reason