Tanga: Waja leo kuondoka majaliwa

God is good kumbe na mimi kuna mtu anani admire hapa jamvini💟💟💟
Uko vizuri huwa nafatilia sana michango yako humu jukwaani..!!

Kuna siku kwenye uzi mmoja tulibishana lakini sikuona ukitumia lugha chafu hata pale nilipokukwaza..!! Libarikiwe tumbo lililokubeba na wazazi waliokufundisha hekima..!!

Sema kwenye mmea sasa…. 😹
 
Embu nikumbushe huo uzi nikarejee maana mmea unanifanya nasahau vitu😅😅
 
Ilikuwaje ukaondoka Tanga Pazuri mikono mitupu! Pale pana mambo mazuri sana. Baikoko kama yote. Mimi siwezi kwenda Tanga halafu nisitembelee barabara ya 19.
 
Raskazone si ndo Tanga beach?
Hapana, Tanga beach ipo ukanda mwingine, ukitoka raskazone unaingia Jet, kisha Jeshini, kisha Tanga beach kwa mujibu wa maelekezo niliyopewa na wenyeji
 
Ilikuwaje ukaondoka Tanga Pazuri mikono mitupu! Pale pana mambo mazuri sana. Baikoko kama yote. Mimi siwezi kwenda Tanga halafu nisitembelee barabara ya 19.
Sio kila wakati mikono inatakiwa kubeba mizigo Mkuu, amani ya moyo inahitaji mikono mitupu wakati mwingine
 
Ilikuwaje ukaondoka Tanga Pazuri mikono mitupu! Pale pana mambo mazuri sana. Baikoko kama yote. Mimi siwezi kwenda Tanga halafu nisitembelee barabara ya 19.
Hatar sana sijawah shuhudia ila nasikia kuna balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…