Tanga: Waja leo kuondoka majaliwa

Unavyopenda wewe ngono zembe unajua na wengine wanapenda kurisk afya zao kwa starehe za dakika chache?
Born for nothing yaani kiufupi upo duniani without no reason
 
Mkuu umeutendea "Waja Leo" haki. Kuna kitu kimoja cha kuongeza. Kwa maoni YANGU: lafudhi ya Kiswahili cha Tanga hapa Afrika Mashariki ndiyo NAMBARI MOJA
Kabisa, Nina jamaa yangu mtanga lafudhi yake BURUDANI hasa
 
Daa juzi hapa tu baada ya kupata nafasi nichague nikafanyie kazi wapi kati ya Tanga au Igunga.
Laiti huu uzi ungekuja mapema hakika ningafanya maamuzi upya nirudi tanga ila ndio basi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…