Tanga Wilaya nyingi na Wabunge wengi lakini Watu wake Maskini tofauti na kwetu Iringa

Nchi hii inanuka umaskini karibu kila kaya hasa Kwa vijini. Ukiondoa mikoa michache ya Kilimanjaro, Njombe na Dar es Salaam kwingine kite kulikobaki kunanuka umaskini wa kupindukia.
 
Huyu mpuuzi akishalewa pombe zake chafu anajiona star sana.
 
Kisha unjoo ulinganishe na kufa kwa ukimwi mayatima mlijazana kwa kuwa na umaskini wa akili
 
Nchi hii inanuka umaskini karibu kila kaya hasa Kwa vijini. Ukiondoa mikoa michache ya Kilimanjaro, Njombe na Dar es Salaam kwingine kite kulikobaki kunanuka umaskini wa kupindukia.
Dar es Salaam nao ni mkoa wenye makazi bora? Are you serious? Dar ndo mkoa watu wanaishi maisha ya ajabu sana!
 
Ha ha ha kwahiyo ni mwendo wa wajawazito tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mmeamua kuwananga watani zangu ha ha ha

Na wakizaramo je ?!!
Ni navyoongea ndoa nyingine inaning'inia na kauzi kembamba, mwanamke zile safari hapana mpaka mwanaume kasema nimechoka kujihudumia acha nimpe nafasi ili awe anaenda kwao bila kuulizwa
 
We ndugu weee Iringa napajua Tanga napajua Iringa ni pazuri kuliko Tanga mji umejaa umwinyi vibaya mno, ni magofu kwa kwenda mbele ,mzunguko wa hela sufuri, ukiingia mjini kama umeingia msibani kuna nini pale ? Bara bara za Tanga mjini tu kuanzia bara bara ya nne njoo mpaka pangani road kuna nini pale?

Ukweli usemwe Tanga usiifananishe na Iringa
 
Tanga kuna wajinga wengi sn, Lushoto, Handeni na Korogwe kuna wachaga wa kutosha, wenyeji ni wajinga haswa hawana akili, ndiyo maana na CCM ina wapenda haswa
 
Tanga kuna waswahili wengi sn tena wajinga haswa
 
We ndiyo mgosi mwenye akili asee
 
Wamekukosea nini? tuna kusaidia ficha aibu ya mji wenu
 
Nimefika Tanga, ukweli Tanga masikini huwezi kulinganisha na Iringa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…