Tanga Wilaya nyingi na Wabunge wengi lakini Watu wake Maskini tofauti na kwetu Iringa

Nchi hii inanuka umaskini karibu kila kaya hasa Kwa vijini. Ukiondoa mikoa michache ya Kilimanjaro, Njombe na Dar es Salaam kwingine kite kulikobaki kunanuka umaskini wa kupindukia.
 
....uko na "obsessions and compulsivitities " na imani yako ya kidini kwa dhihaka ambayo wengine tuko "partial" kisomi kwa kuheshimu wengine ila dhihaka tunaziweza sana tu ha ha ha ha
Hakukuwa na sababu ya kuingiza Udini katika mambo yetu mtambuka ya kijamii.....

Kada uwe na kiasi.....
Huyu mpuuzi akishalewa pombe zake chafu anajiona star sana.
 
Sikuwahi kuamini kwamba Tanzania bado kuna Nyumba za udongo lakini huku Tanga unakutana nazo nyingi tu

Handeni na Korogwe walau Matajiri wa kichagga wamechangamsha

Huu mkoa uliathiriwa na siasa za Manamba enzi za Mkoloni

Bwashee Retired upo Tanga IPI tukuletee KADI? 😃
Kisha unjoo ulinganishe na kufa kwa ukimwi mayatima mlijazana kwa kuwa na umaskini wa akili
 
Nchi hii inanuka umaskini karibu kila kaya hasa Kwa vijini. Ukiondoa mikoa michache ya Kilimanjaro, Njombe na Dar es Salaam kwingine kite kulikobaki kunanuka umaskini wa kupindukia.
Dar es Salaam nao ni mkoa wenye makazi bora? Are you serious? Dar ndo mkoa watu wanaishi maisha ya ajabu sana!
 
. Umetoa hoja kwa hasira sana, ila tanga ni jiji la hovyo sana..

. Jiji la tanga kwa Sasa limeshikiliwa na wabena.. Ila wazawa hamna kitu pale ni mwendo wa kulala vibarazani tu kama wajawazito.. 🙂 🙂

. Hata sa100 leo ameamua kutembelea chopa tu, maana barabara za tanga hazieleweki..
Ha ha ha kwahiyo ni mwendo wa wajawazito tu 😅😅😅😅
 
Mmeamua kuwananga watani zangu ha ha ha

Na wakizaramo je ?!!
Ni navyoongea ndoa nyingine inaning'inia na kauzi kembamba, mwanamke zile safari hapana mpaka mwanaume kasema nimechoka kujihudumia acha nimpe nafasi ili awe anaenda kwao bila kuulizwa
 
Kwenu Iringa kuna maendeleo gani. Niambie Iringa ukiacha zile squater za Mafinga ni wilaya ipi ina makao makuu yake yana hadhi ya mji (Town council?) Tanga wilaya ya Korogwe utalinganisha na wilaya ipi huko kwenu? Bado Handeni ni Town council. Tanga ni jiji, kale kamji kenu kanatakiwa kashushwe hadhi ni kadogo kamedumaa. We Tanga umefika wapi au unaishi kwa hisia! Iringa ingekuwa na maendeleo watoto wangekuwa na udumavu wa lishe? Mmeiga upumbavu kwa wachaga siyo? Nyie waandunje bado sana
We ndugu weee Iringa napajua Tanga napajua Iringa ni pazuri kuliko Tanga mji umejaa umwinyi vibaya mno, ni magofu kwa kwenda mbele ,mzunguko wa hela sufuri, ukiingia mjini kama umeingia msibani kuna nini pale ? Bara bara za Tanga mjini tu kuanzia bara bara ya nne njoo mpaka pangani road kuna nini pale?

Ukweli usemwe Tanga usiifananishe na Iringa
 
Sikuwahi kuamini kwamba Tanzania bado kuna Nyumba za udongo lakini huku Tanga unakutana nazo nyingi tu

Handeni na Korogwe walau Matajiri wa kichagga wamechangamsha

Huu mkoa uliathiriwa na siasa za Manamba enzi za Mkoloni

Bwashee Retired upo Tanga IPI tukuletee KADI? 😃
Tanga kuna wajinga wengi sn, Lushoto, Handeni na Korogwe kuna wachaga wa kutosha, wenyeji ni wajinga haswa hawana akili, ndiyo maana na CCM ina wapenda haswa
 
We ndugu weee Iringa napajua Tanga napajua Iringa ni pazuri kuliko Tanga mji umejaa umwinyi vibaya mno, ni magofu kwa kwenda mbele ,mzunguko wa hela sufuri, ukiingia mjini kama umeingia msibani kuna nini pale ? Bara bara za Tanga mjini tu kuanzia bara bara ya nne njoo mpaka pangani road kuna nini pale?

Ukweli usemwe Tanga usiifananishe na Iringa
Tanga kuna waswahili wengi sn tena wajinga haswa
 
Kabla ya kumkatalia Fanya survey uone alichoandika ni ukweli kabisa.
Nenda Handeni wachaga wamewafukuza wahindi , wahindi wameshindwa kuhimili ushindani wa biashara.
Wachaga wanaanzia shambani alfajiri msimu wa kilimo na wafanyakazi wao mchana wanakuja kufungua maduka mhindi hakuweza hiyo.
Nenda Tanga mjini siku hizi wachaga wame-dominate kwa maduka.
Mimi ni Tangaline OG lakini nimejifunza kujadili mada kwa kusimamia ukweli hata kama haunifurahishi.
We ndiyo mgosi mwenye akili asee
 
Kwenu Iringa kuna maendeleo gani. Niambie Iringa ukiacha zile squater za Mafinga ni wilaya ipi ina makao makuu yake yana hadhi ya mji (Town council?) Tanga wilaya ya Korogwe utalinganisha na wilaya ipi huko kwenu? Bado Handeni ni Town council. Tanga ni jiji, kale kamji kenu kanatakiwa kashushwe hadhi ni kadogo kamedumaa. We Tanga umefika wapi au unaishi kwa hisia! Iringa ingekuwa na maendeleo watoto wangekuwa na udumavu wa lishe? Mmeiga upumbavu kwa wachaga siyo? Nyie waandunje bado sana
Wamekukosea nini? tuna kusaidia ficha aibu ya mji wenu
 
Kwenu Iringa kuna maendeleo gani. Niambie Iringa ukiacha zile squater za Mafinga ni wilaya ipi ina makao makuu yake yana hadhi ya mji (Town council?) Tanga wilaya ya Korogwe utalinganisha na wilaya ipi huko kwenu? Bado Handeni ni Town council. Tanga ni jiji, kale kamji kenu kanatakiwa kashushwe hadhi ni kadogo kamedumaa. We Tanga umefika wapi au unaishi kwa hisia! Iringa ingekuwa na maendeleo watoto wangekuwa na udumavu wa lishe? Mmeiga upumbavu kwa wachaga siyo? Nyie waandunje bado sana
Nimefika Tanga, ukweli Tanga masikini huwezi kulinganisha na Iringa
 
Back
Top Bottom