Tanganyika bado hatujapata uhuru, Je tulipataje hiki kinachoitwa uhuru.?

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
10,002
Reaction score
16,240
Pengine hii ni siri ambayo baadhi ya watu hawatopenda kila mtu katika hii nchi aijue,

: Kipindi ambacho watanganyika bado tunatawaliwa na mkoloni, Mwalimu akiwa na chama cha kudai uhuru, basi...

Kiliitishwa kikao cha Watu wazito wa hii nchi, watu wenye elimu ya faraki kujadili je tunamuondoaje mkoloni...

Kudai uhuru haukuwa ushawi wa maneno matupu Kumuondoa mkoloni kwenye ardhi yetu.

: Wazee hao wa Tanganyika wakiongozwa na kamanda mkali wao ForojoGanze wakatafuta eneo ambalo wanataka kuita miungu ya kuwasaidia (Nyerere anasema kutambika) wakachimba shimo ambalo Kafara za wanyama na watu zikatupwa humo katika shimo refu kwa kisomo maalumu,

Baada ya kuendelea kutoa manuizo ya kile ambacho wanakitaka, haikua laisi miungu hiyo ambayo wazee wetu walikwenda kuiomba nguvu ya kupata uhuru wa kujitawala kutupa sawa na tunavyotaka,

Kiongozi wa wazee ilabidi aingie mule shimoni, kwenda kupambania majibu ya kafara iliyotolewa,

Badae alitolewa shimoni akiwa hali maututi, katoka akiwa na alama kwenye kiganja cha mkono, na akiulizwa atoe maelezo anaishi kusema baba.. baba, wakajua anataka wamlete Mwalimu nyerere mbele yake.

Alipoletwa Mwalimu, kauli ya mwisho ya chuma chetu alionesha ile alama ya mkononi mwake na kusema,

"Tuwashe Taa imulike nchi yetu kote na nchi za jirani, ikalete amani pasipo na amani, ikalete kukubalika isipo kubalika, ikalete mafaniki pasipo na mafanikio.

Basi haya maneno yakachukuliwa na kutumika kutengeneza wimbo wetu wa Mwenge wa uhuru, wakamodify kidogo.

Na ile alama ya mkoni, Ilipochunguzwa, Ikapatika miaka ambayo Mwalimu Nyerere atatawala na Mwaka ambao Mwalimu Nyerere atakufa.

Watanganyika tukapata uhuru 1961

Nimefupisha story hii chanzo, Ni Sheikh Moja Mkubwa sana Hapa nchini. Video youtube is deleted.

Tuangalie jambo gani...

Baada ya uhuru huo, pia Wazee hadi sasa wana kafara mbili kubwa ya kitaifa, mkoa ambao kafara ilifanyika ya mwisho hukumbwa na tatizo la Mkoa kuwa na wananchi wajinga kielemu wanashika mkia siku zote. Je ni mkoa Gani ?

Ofisi inayowatambua wazee wa nchi hii ni ofisi ya waziri mkuu, kwahiyo aliyewahi kuwa Waziri mkuu yeyote wa nchi yetu hato weza kuwa Rais kwenye maisha yake, akigombea ataanguka tu.

Naeleza haya yote kwanini Jiulize Nyuma ya kiti cha urais ni Nguvu gani ya kiroho inayomtawala raisi ?

Mwisho:
Ukombozi Unakuja,
Atapatika Rais atakayebadili hali ya kiroho ya ikulu ya nchi Yetu.

Na kuwaongoza wananchi kuelekea nchi ya ahadi,

Mungu yupo kazini, kufichua mema na maovi ya nchi hii,

Ccm going into transformation

Changing is coming.
Mungu amekwisha jitafutia Mtu atakayeiongoza Tanzania na sio Samia.
 
Mh! bado mmeshika hizo stori za mizimu!, kweli bado hampo huru!!!.
 
Pengine hii ni siri ambayo baadhi ya watu hawatopenda kila mtu katika hii nchi aijue,

: Kipindi ambacho watanganyika bado tunatawaliwa na mkoloni, Mwalimu akiwa na chama cha kudai uhuru, basi...

Kiliitishwa kikao cha Watu wazito wa hii nchi, watu wenye elimu ya faraki kujadili je tunamuondoaje mkoloni...

Kudai uhuru haukuwa ushawi wa maneno matupu Kumuondoa mkoloni kwenye ardhi yetu.

: Wazee hao wa Tanganyika wakiongozwa na kamanda mkali wao ForojoGanze wakatafuta eneo ambalo wanataka kuita miungu ya kuwasaidia (Nyerere anasema kutambika) wakachimba shimo ambalo Kafara za wanyama na watu zikatupwa humo katika shimo refu kwa kisomo maalumu,

Baada ya kuendelea kutoa manuizo ya kile ambacho wanakitaka, haikua laisi miungu hiyo ambayo wazee wetu walikwenda kuiomba nguvu ya kupata uhuru wa kujitawala kutupa sawa na tunavyotaka,

Kiongozi wa wazee ilabidi aingie mule shimoni, kwenda kupambania majibu ya kafara iliyotolewa,

Badae alitolewa shimoni akiwa hali maututi, katoka akiwa na alama kwenye kiganja cha mkono, na akiulizwa atoe maelezo anaishi kusema baba.. baba, wakajua anataka wamlete Mwalimu nyerere mbele yake.

Alipoletwa Mwalimu, kauli ya mwisho ya chuma chetu alionesha ile alama ya mkononi mwake na kusema,

"Tuwashe Taa imulike nchi yetu kote na nchi za jirani, ikalete amani pasipo na amani, ikalete kukubalika isipo kubalika, ikalete mafaniki pasipo na mafanikio.

Basi haya maneno yakachukuliwa na kutumika kutengeneza wimbo wetu wa Mwenge wa uhuru, wakamodify kidogo.

Na ile alama ya mkoni, Ilipochunguzwa, Ikapatika miaka ambayo Mwalimu Nyerere atatawala na Mwaka ambao Mwalimu Nyerere atakufa.

Watanganyika tukapata uhuru 1961

Nimefupisha story hii chanzo, Ni Sheikh Moja Mkubwa sana Hapa nchini. Video youtube is deleted.

Tuamgalie jambo gani...

Baada ya uhuru huo, pia Wazee hadi sasa wana kafara mbili kubwa ya kitaifa, mkoa ambao kafara ilifanyika ya mwisho hukumbwa na tatizo la Mkoa kuwa na wananchi wajinga kielemu wanashika mkia siku zote. Je ni mkoa Gani ?

Ofisi inayowatambua wazee wa nchi hii ni ofisi ya waziri mkuu, kwahiyo aliyewahi kuwa Waziri mkuu yeyote wa nchi yetu hato weza kuwa Rais kwenye maisha yake, akikombea ataanguka tu.

Naeleza haya yote kwanini Jiulize Nyuma ya kiti cha urais ni Nguvu gani ya kiroho inayomtawala raisi ?

Mwisho:
Ukombozi Unakuja,
Atapatika Rais atakayebadili hali ya kiroho ya ikulu ya nchi Yetu.

Na kuwaongoza wananchi kuelekea nchi ya ahadi,

Mungu yupo kazini, kufichua mema na maovi ya nchi hii,

Ccm going into transformation

Changing is coming.
Mungu amekwisha jitafutia Mtu atakayeiongoza Tanzania na sio Samia.
Duh!...mwanahistoria Mohamed Said hajatuambia hili..
 
Uhuru ni kwa kutoka barabarani na siyo kwenye keyboard
 
We ni mwehu tu upuuzwe
 
Tanganyika mlipata uhuru wenu halali,ila kulitokea mtu mmoja ambae aliaminika sana na watanganyika akaunda chama kilicho pindua kila kitu cha watanganyika,hakuna haja ya kukielezea hicho kikundi nadhani mtakuwa mshakielewa watanganyika,mpaka tunaenda mitamboni hiki kikundi kinauwa, kinatesa,kinashambulia raia kuliko hata mkoloni aliepita,msipo funguka macho watanganyika na kuchukua hatua mtamalizika nyote.
 
Back
Top Bottom