Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Sasa wewe unaongea nini. Mimi nimekuuliza kama unafahamu historia ya Olduvai Gorge, sijazungumzia Ethiopia sijui nini. Usitake kunilisha maneno, unasikia?Usijitoe ufahamu! Hivi sasa inadaiwa Mwanadamu wa kwanza alikuwa Ethiopia
Nilitegemea utasema umri wa fuvu/masalia lililo gunduliwa Oldvai sio sahihi.Usijitoe ufahamu! Hivi sasa inadaiwa Mwanadamu wa kwanza alikuwa Ethiopia
Ni kweli, je haiwezekani hao walikuwa waamiaji au walipita na kukutwa na umauti maeneo hayo?!Nilitegemea utasema umri wa fuvu/masalia lililo gunduliwa Oldvai sio sahihi.
Au utasema Oldivai hakukutwa hizo alama au masalia ya binadamu wa umri uliosemwa mwanzo.
Au utasema Oldivai haipo Tanganyika waliongopa.
Kwa ushahidi wa umri wa fuvu unaonesha eneo la Tanganyika kulikuwa na watu miaka mingi sana.
Kugunduliwa kwa mabaki ya binadamu wa kale zaidi kuliko wa Oldivai hakuondoi ukweli wa binadamu kuishi hapo Oldivai miaka mingi kuliko uliyosema kwenye utafiti wako.
Unafahamu msafiri na mwanazuoni Ibn Battuta alipotembelea Kilwa 1328-30 (karne saba zilizopita) alikuta mji na makazi makubwa huko, na magofu ya huo mji yapo mpaka leo? Inapaswa urudi tena shule kujifunza historia ya nchi yako vizuri.Ni kweli, je haiwezekani hao walikuwa waamiaji au walipita na kukutwa na umauti maeneo hayo?!
Maana kubwa inayonishangaza ni demographic ya idadi ya watu miaka 60-100 iliyopita inaakisi hakukuwepo wakazi before that time. Imagine 1960's idadi ni takribani 8 Million
Asante kwa kunifahamisha juu ya hilo, nitafunza hakika,. Vipi kuhusu Tanganyika "Tanzania Mainland" ilikuwaje?Unafahamu msafiri na mwanazuoni Ibn Battuta alipotembelea Kilwa 1328-30 (karne saba zilizopita) alikuta mji na makazi makubwa huko, na magofu ya huo mji yapo mpaka leo? Inapaswa urudi tena shule kujifunza historia ya nchi yako vizuri.
Kwani Kilwa haiko Tanganyika?Asante kwa kunifahamisha juu ya hilo, nitafunza hakika,. Vipi kuhusu Tanganyika "Tanzania Mainland" ilikuwaje?
Ni Tanganyika hakika, upande wa pwani na ukitizama Coast ni walowezi kutoka Mashariki ya kati au Bahari ya Hindi.Kwani Kilwa haiko Tanganyika?
Wakazi walikuwepo. Usidanganywe na wanaosema ziwa la Tanganyika "lilivumbuliwa" na wazungu kwa mfano. Jiulize nani walichora michoro ya pangoni kule Kondoa miaka elfu thelasini iliyopita?Ni Tanganyika hakika, upande wa pwani na ukitizama Coast ni walowezi kutoka Mashariki ya kati au Bahari ya Hindi.
Lengo langu kuhusianisha demographic ya watu wa sasa na enzi hizo, kufahamu je wazawa walikuwapo? Sijui kama umenielewa!
Mwanza, Tabora, Mbeya, Kilimanjaro and co.. kulikuwa na wakazi? Something like that....
Sawa, je ongezeko la hao wakazi halikuwa likishamiri kwa kasi?Wakazi walikuwepo. Usidanganywe na wanaosema ziwa la Tanganyika "lilivumbuliwa" na wazungu kwa mfano.
Jaribu kufuatilia historia ya nchi yako kwa kina, hutakuwa na maswali kama hayo.Sawa, je ongezeko la hao wakazi halikuwa likishamiri kwa kasi?
Maana ukiona 1960's idadi ni takribani 8 Million (Idadi iliyojumuisha Rwanda-Urundi) nabaki kujiuliza!
Sawa nitafuatilia, vipi kuhusu historia unayotanabaisha Ziwa Tanganyika "lilivumbuliwa" na wazungu.Jaribu kufuatilia historia ya nchi yako kwa kina, hutakuwa na maswali kama hayo.
Duh, aisee una maswali mengi ambayo sitakuwa na muda wa kutosha kukusaidia.Sawa nitafuatilia, vipi kuhusu historia unayotanabaisha Ziwa Tanganyika "lilivumbuliwa" na wazungu.
Historia ya kweli kuhusu hili inaweza ikapatikana wapi?
Shukrani Taslim, kwa kutoa muda wako kunipatia jawabu. Hata kwa wakati mwingine usisite Bw. Magonjwa MtambukaDuh, aisee una maswali mengi ambayo sitakuwa na muda wa kutosha kukusaidia.
Ofcoz... ulimwengu huu unazaa kwa kasi... Sote tuliaanza from ADAM na HAWAA !!Kwa maana hiyo yawezekana walikuwepo kweli lakini hawakufika hata watu elfu 2,000
Ni vyema kusema kuwa wenyeji wa Pwani au Morogoro asili yao ni Senegal. Huwa siamini katika Makabira na Ukabira kama utambulisho.Wapogoro asili yao ni Senegal