Tanganyika haikuwahi kukaliwa na watu

Tanganyika haikuwahi kukaliwa na watu

Usijitoe ufahamu! Hivi sasa inadaiwa Mwanadamu wa kwanza alikuwa Ethiopia
Sasa wewe unaongea nini. Mimi nimekuuliza kama unafahamu historia ya Olduvai Gorge, sijazungumzia Ethiopia sijui nini. Usitake kunilisha maneno, unasikia?

Soma hapa ulivyoandika "...Tanganyika takribani Karne 4 zilizopita haikuwa na mwenyewe, haikukalika and was purely a virgin land same goes to Namibia (South West Africa) and Cameroon...".
 
Usijitoe ufahamu! Hivi sasa inadaiwa Mwanadamu wa kwanza alikuwa Ethiopia
Nilitegemea utasema umri wa fuvu/masalia lililo gunduliwa Oldvai sio sahihi.
Au utasema Oldivai hakukutwa hizo alama au masalia ya binadamu wa umri uliosemwa mwanzo.
Au utasema Oldivai haipo Tanganyika waliongopa.

Kwa ushahidi wa umri wa fuvu unaonesha eneo la Tanganyika kulikuwa na watu miaka mingi sana.
Kugunduliwa kwa mabaki ya binadamu wa kale zaidi kuliko wa Oldivai hakuondoi ukweli wa binadamu kuishi hapo Oldivai miaka mingi kuliko uliyosema kwenye utafiti wako.
 
Ni kweli, je haiwezekani hao walikuwa waamiaji au walipita na kukutwa na umauti maeneo hayo?!

Maana kubwa inayonishangaza ni demographic ya idadi ya watu miaka 60-100 iliyopita inaakisi hakukuwepo wakazi before that time. Imagine 1960's idadi ni takribani 8 Million
 
Unafahamu msafiri na mwanazuoni Ibn Battuta alipotembelea Kilwa 1328-30 (karne saba zilizopita) alikuta mji na makazi makubwa huko, na magofu ya huo mji yapo mpaka leo? Inapaswa urudi tena shule kujifunza historia ya nchi yako vizuri.
 
Asante kwa kunifahamisha juu ya hilo, nitafunza hakika,. Vipi kuhusu Tanganyika "Tanzania Mainland" ilikuwaje?
 
Kwani Kilwa haiko Tanganyika?
Ni Tanganyika hakika, upande wa pwani na ukitizama Coast ni walowezi kutoka Mashariki ya kati au Bahari ya Hindi.

Lengo langu kuhusianisha demographic ya watu wa sasa na enzi hizo, kufahamu je wazawa walikuwapo? Sijui kama umenielewa!

Mwanza, Tabora, Mbeya, Kilimanjaro and co.. kulikuwa na wakazi? Something like that....
 
Wakazi walikuwepo. Usidanganywe na wanaosema ziwa la Tanganyika "lilivumbuliwa" na wazungu kwa mfano. Jiulize nani walichora michoro ya pangoni kule Kondoa miaka elfu thelasini iliyopita?
1581720791100.png
 
Wakazi walikuwepo. Usidanganywe na wanaosema ziwa la Tanganyika "lilivumbuliwa" na wazungu kwa mfano.
Sawa, je ongezeko la hao wakazi halikuwa likishamiri kwa kasi?

Maana ukiona 1960's idadi ni takribani 8 Million (Idadi iliyojumuisha Rwanda-Urundi) nabaki kujiuliza!
 
Jaribu kufuatilia historia ya nchi yako kwa kina, hutakuwa na maswali kama hayo.
 
Sawa nitafuatilia, vipi kuhusu historia unayotanabaisha Ziwa Tanganyika "lilivumbuliwa" na wazungu.

Historia ya kweli kuhusu hili inaweza ikapatikana wapi?
 
Duh, aisee una maswali mengi ambayo sitakuwa na muda wa kutosha kukusaidia.
 
Kwamba Tabora ilijengwa na Wajerumani haikua na watu before German, basi sawa. Ndio maana tafiti za mangwini sijawahi kuziamini cause you cant prove them madam mtafiti kasema. Anyway, So Mtemi Mirambo, Isike wote hawa walikuja baada ya German? Bora nikasome hesabu za Integration na Calculus zenye fomula
 
Karne nne Mbona ni ndogo sana
Kama tunajua kuwa waligundua fuvu
Olduvai gorge
Hapo ni miaka mingi sana
Na Kuna watu pia wa Later Stone Age kama miaka 10,000 iliyopita kuna watu walikuwa wanadunda tu Mbona

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom