Tanganyika haikuwahi kukaliwa na watu

Ni vyema kusema kuwa wenyeji wa Pwani au Morogoro asili yao ni Senegal. Huwa siamini katika Makabira na Ukabira kama utambulisho.
Inategemea na uelewa wako dhidi ya makabila, ila sio wenyeji wote wa Pwani au Morogor wana asili moja

Na kwa kusoma uliyoandika nimegundua haujui chochote kuhusu historia ya mwanadamu!

Thus hata claim yako imebaki kwenye demography bila kuwea matukio ya kihistoria kama utumwa nk.

Pia umesahau hata magonjwa hupunguza idadi ya watu.

Umekosa namna ya kuweka hoja kwa masuala mengine.

Pia nimeona hujui historia kwa kusema wenyeji wa Morogoro/Pwani kwamba hakika haujui kuhusu historia kabisa, na makabila hauyajui kabisa, labda unadhana ya makabila kwa usasa na sio uhalisia wa Makabila
 
Huyu ni Mzungu mswahili anajaribu kujifunza historia ya Kwao(uswahilini).
 
Kulikua hakuna Tabora kulikua na Unyanyembe Kingdom waarabu walikuja wakaikuta sembuse hao wajerumani wa juzi kati
 
wapi Ibni Batuta alisema kakuta wabantu kilwa?
Ulifeli darasani wewe. Swali hapa ni kwamba Tanganyika haikuwahi kukaliwa na watu takriban karne 4 zilizopita. Sasa wewe unaanza oh waarabu oh wabantu sijui nini. Ujinga mtupu. Sina muda wa kujibizana na vilaza dizaini yako, unaelewa?
 
....Hadi ujio wa Germany, Tanzania ilikuwa na wahamiaji na watu wachache sana.....
 
Oke nimekuelewa vizuri.

Kwa hapa "Nimesikia mtoa post ni PHD Holder, zamani niliitamani sana hii level ya kielimu" Hapana ni mtu flani tu asiyekuwa na vyeti.
 
Reactions: T11
Sawa mkuu, hupo sahihi.
 
Ulifeli darasani wewe. Swali hapa ni kwamba Tanganyika haikuwahi kukaliwa na watu takriban karne 4 zilizopita. Sasa wewe unaanza oh waarabu oh wabantu sijui nini. Ujinga mtupu. Sina muda wa kujibizana na vilaza dizaini yako, unaelewa?

Watu walikuepo pwani nasio bara, Bara ndio kulikua hakuna watu.

Na huko pwani kulikua kukikaliwa na Waarabu na Wapersia kabla ya wabantu kuingia
 
Watu walikuepo pwani nasio bara, Bara ndio kulikua hakuna watu.

Na huko pwani kulikua kukikaliwa na Waarabu na Wapersia kabla ya wabantu kuingia
Wewe unazungumza nini sasa. Kwa hiyo Waarabu na hao Wapersia sio watu sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…