Tanganyika hatuna chetu kwenye mapato na usimamizi wa utalii Zanzibar, hili swala la Mnaijeria linakuwaje la muungano?

Si ndiyo uchafu wenu machogo mnaofanya tangu mvamie Zanzibar mwaka 1964.
Mkuu yote tuweke pembeni, hivi unaona ni jambo la thamani sana kuwa na au kulazimisha kutengeneza Flat head kisogoni ?!
 
Sisi tunapenda vita tu.. hata kama haituhusu wazenji ni ndugu zetu.
 
Hili swala sio la Muungano, mimi nipo Twitter kazi yangu ni kukazia tu kua io ni Zanzibar na sio Tanganyika. Tanganyika mambo ni safii kabisa

Chuki haiwezi kukufikisha sehemu, Unachosahau ni kuwa 80% ya ajira Za utalii zanzibar zinafanywa na watanganyika. Kwa maana kama kuathirika ndugu zako nao yatawakuta.
 
Huoni uzinduzi wa Royal Tour unafanyika Dar es salaam na Zanzibar!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…