crocodile
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,864
- 2,955
Mkuu yote tuweke pembeni, hivi unaona ni jambo la thamani sana kuwa na au kulazimisha kutengeneza Flat head kisogoni ?!Si ndiyo uchafu wenu machogo mnaofanya tangu mvamie Zanzibar mwaka 1964.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu yote tuweke pembeni, hivi unaona ni jambo la thamani sana kuwa na au kulazimisha kutengeneza Flat head kisogoni ?!Si ndiyo uchafu wenu machogo mnaofanya tangu mvamie Zanzibar mwaka 1964.
😂😂Historia ya makanisa bora ilifutwa ni magumashi matupu
Hili swala sio la Muungano, mimi nipo Twitter kazi yangu ni kukazia tu kua io ni Zanzibar na sio Tanganyika. Tanganyika mambo ni safii kabisa
Huoni uzinduzi wa Royal Tour unafanyika Dar es salaam na Zanzibar!Inakuwaje watu wa bara wanashadadia, kupambania na kuutetea ugali ambao hawana mgao wake.
Kuna binti mnaijeria alikuja Zanzibar mwaka jana kusherekea birthday yake, she claims that angebakwa isingekuwa kusingizia ana ukimwi ila hata hivyo bado aliibiwa takribani milioni 2.4, alipoenda polisi anadai hakupewa ushirikiano.
Ushahidi kauweka wa picha na video huko twitter kwenye post yake yenye nyuzi zaidi ya 40 juu ya mkasa mzima.
hili swala ni la serikali ya Zanzibar maana wao hunufaika na utalii wa vivutio vyao ambavyo vinasimamiwa na taasisi ya utalii ya serikali ya Zanzibar, kwa ufupi hapa upande wa bara hakuna chetu hapo.