Tanganyika iko mnadani?

Tanganyika iko mnadani?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Baada ya kuuza vikubwa vyote, sasa vya kati vimeanza kuchukuliwa.. Kama tusipogutuka kwenye hili pia tumekwisha. Sasa ni zamu ya shule ya Msingi Ubungo shule ya umma!

Miezi miwili iliyopita kiliuzwa kituo cha mabasi madogo ya abria maarufu kama simu 2000.. Tulipiga kelele za hapa na pale likapita hilo.

Asili ya haya manunuzi ni kuuzwa kwa iliyokuwa stand kuu ya mabasi Ubungo ambayo ilikuja kuhamishiwa Mbezi Luois. Stand hiyo ya zamani sasa panajengwa kituo/soko kubwa la bidhaa za kichina.

Stand ya simu 2000 wameuziwa watu wa DART. Shule haijajulikana vema kauziwa nani. Kuna kila dalili eneo lote la Ubungo lenye huduma za Jamii litamegwa vipande vipande mpaka watalimaliza. TBS ya zamani pengine iko mbioni. Soko la simu 2000 nalo sidhani kama litapona. Mahamaka ya mafisadi je.nknk

Huko tuendako hata wananchi watafurushwa ni swala la muda tu. Baada ya kumaliza Ubungo kituo kinachofuata most likely ni urafiki.. Muda utasema.

Pia Soma : DC Ubungo: Hakuna Shule inauzwa Ubungo

Shule ya Msingi UBUNGO NATIONAL HOUSING NYUMA YA UBUNGO PLAZA IMEUZWA.

Wazazi wameambiwa Wakachukue watoto wao wakawatafutie Shule.

Shule ya SERIKALI inauzwa kama Peremende.

Shule iliyojengwa kwa KODI za wananchi kuna watu wachache wamekaa huko juu wameamua WAUZE.

Maelfu ya WATANZANIA yanaenda kuumia kwa kukosa huduma ya Elimu kwaajili ya Maamuzi ya VIGOGO wachache.

Hapa ndio tulipofikishwa TAIFA na CHUKUA CHAKO MAPEMA (CCM).
 
Baada ya kuuza vikubwa vyote, sasa vya kati vimeanza kuchukuliwa.. Kama tusipogutuka kwenye hili pia tumekwisha!
Sasa ni zamu ya shule ya Msingi Ubungo shule ya umma!

Miezi miwili iliyopita kiliuzwa kituo cha mabasi madogo ya abria maarufu kama simu 2000.. Tulipiga kelele za hapa na pale likapita hilo
Asili ya haya manunuzi ni kuuzwa kwa iliyokuwa stand kuu ya mabasi ubungo ambayo ilikuja kuhamishiwa mbezi Luois
Stand hiyo ya zamani sasa panajengwa kituo/soko kubwa la bidhaa za kichina
Stand ya simu 2000 wameuziwa watu wa DART.. shule haijajulikana vema kauziwa nani..
Kuna kila dalili eneo lote la ubungo lenye huduma za Jamii litamegwa vipande vipande mpaka watalimaliza
TBS ya zamani pengine iko mbioni
Soko la simu 2000 nalo sidhani kama litapona
Mahamaka ya mafisadi je.nknk
Huko tuendako hata wananchi watafurushwa ni swala la muda tuu
Baada ya kumaliza Ubungo kituo kinachofuata most likely ni urafiki.. Muda utasema
View attachment 3151160
niliuliza jana kwenye uzi Fulani hivi kwamba,

hivi mpaka sasa watanganyika kwa idadi ambao wako physically and mentally fit wanaweza kuzidi mia1 kweli?

nadhan wangejengewa hata jengo moja wakawekwa na kuishi kwa pamoja ili tupate fursa ya kwenda kupata historia na kuwahoji walizubaa wapi mpka wakawa hivyo walivyo na sasa hivi ndio wanakuja kumbwelambwela hapa na kutia huruma Tanzania 🐒
 
Nawe utakuwemo kwenye hilo jengo Gentleman?
 
niliuliza jana kwenye uzi Fulani hivi kwamba,

hivi mpaka sasa watanganyika kwa idadi ambao wako physically and mentally fit wanaweza kuzidi mia1 kweli?

nadhan wangejengewa hata jengo moja wakawekwa na kuishi kwa pamoja ili tupate fursa ya kwenda kupata historia na kuwahoji walizubaa wapi mpka wakawa hivyo walivyo na sasa hivi ndio wanakuja kumbwelambwela hapa na kutia huruma Tanzania 🐒
Nimekusamehe bure na kwa roho nyeupe kabisa
 
Gentleman,
huna haja kunisamehe ikiwa nastahili pongezi, adhabu, kukosolewa au kusahihishwa..

nadhani mimi pamoja na wadau na waTanzania kwa ujumla tusio na maslahi na hiyo sijui tanganyika yafaa kufahamu mnataka tuwahurumie nini hasa kwa tusichokijua na mlichokiharibu wenyewe 🐒
 
Baada ya kuuza vikubwa vyote, sasa vya kati vimeanza kuchukuliwa.. Kama tusipogutuka kwenye hili pia tumekwisha!
Sasa ni zamu ya shule ya Msingi Ubungo shule ya umma!

Miezi miwili iliyopita kiliuzwa kituo cha mabasi madogo ya abria maarufu kama simu 2000.. Tulipiga kelele za hapa na pale likapita hilo
Asili ya haya manunuzi ni kuuzwa kwa iliyokuwa stand kuu ya mabasi ubungo ambayo ilikuja kuhamishiwa mbezi Luois
Stand hiyo ya zamani sasa panajengwa kituo/soko kubwa la bidhaa za kichina
Stand ya simu 2000 wameuziwa watu wa DART.. shule haijajulikana vema kauziwa nani..
Kuna kila dalili eneo lote la ubungo lenye huduma za Jamii litamegwa vipande vipande mpaka watalimaliza
TBS ya zamani pengine iko mbioni
Soko la simu 2000 nalo sidhani kama litapona
Mahamaka ya mafisadi je.nknk
Huko tuendako hata wananchi watafurushwa ni swala la muda tuu
Baada ya kumaliza Ubungo kituo kinachofuata most likely ni urafiki.. Muda utasema
View attachment 3151160
Pameuzwa au panafanyiwa uwekezaji wenye kuleta tija. Ni vema kupeleleza vizuri kabla ya kuongea jumla jumla ie "pameuzwa"
 
Shule ya Msingi UBUNGO NATIONAL HOUSING NYUMA YA UBUNGO PLAZA IMEUZWA.

Wazazi wameambiwa Wakachukue watoto wao wakawatafutie Shule.

Shule ya SERIKALI inauzwa kama Peremende.

Shule iliyojengwa kwa KODI za wananchi kuna watu wachache wamekaa huko juu wameamua WAUZE.

Maelfu ya WATANZANIA yanaenda kuumia kwa kukosa huduma ya Elimu kwaajili ya Maamuzi ya VIGOGO wachache.

Hapa ndio tulipofikishwa TAIFA na CHUKUA CHAKO MAPEMA (CCM).
Broo achana na siasa za majitaka
 
Hatukatai kuuza, kama wameamua kuuza, basi wauze nchi yote kila mtu apewe chake, achague taifa la kwenda kuishi 🤣

Sio hii, wachache ndio wananufaika.
 
Back
Top Bottom