nyonyodawa
Member
- Nov 11, 2024
- 42
- 133
Kwa nini wasingepahamisha na kujenga shule nyingine mbadala?Pameuzwa au panafanyiwa uwekezaji wenye kuleta tija. Ni vema kupeleleza vizuri kabla ya kuongea jumla jumla ie "pameuzwa"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini wasingepahamisha na kujenga shule nyingine mbadala?Pameuzwa au panafanyiwa uwekezaji wenye kuleta tija. Ni vema kupeleleza vizuri kabla ya kuongea jumla jumla ie "pameuzwa"
Basi sawa...maanaGentleman,
huna haja kunisamehe ikiwa nastahili pongezi, adhabu, kukosolewa au kusahihishwa..
nadhani mimi pamoja na wadau na waTanzania kwa ujumla tusio na maslahi na hiyo sijui tanganyika yafaa kufahamu mnataka tuwahurumie nini hasa kwa tusichokijua na mlichokiharibu wenyewe 🐒
shukran sana kwa mifano ya kihistoria na endelea enjoy kua mTanzania na mema yake yote. Huna haja kubabaika na mengineyo 🐒Basi sawa...maana
Tumeuza uhai tunazawadiwa wafu
Mfano wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Mchonga meno bado unaishi.. Ni ule mfano wa kugawa madini ya thamani ya Almasi na kubadilishana na kipande cha chupa na kujiona mjanja sana Post isiwe ndefu sana Tunagawa maliasili zetu kwa wageni kwa bei ya kutupa Tunagawa bandari...www.jamiiforums.com
shukran sana kwa mifano ya kihistoria na endelea enjoy kua mTanzania na mema yake yote. Huna haja kubabaika na mengineyo 🐒
kwenye majadliano muhimu, yamaana na ya kiungwana kama haya,Mko penye kijito cha asali na maziwa... Hamuwezi kamwe kuyatambua maumivu yetu
Kwa sasa huu uzi ni tangazo tuu la kuuza shule ya ubungo.Shule ya Msingi UBUNGO NATIONAL HOUSING NYUMA YA UBUNGO PLAZA IMEUZWA.
Wazazi wameambiwa Wakachukue watoto wao wakawatafutie Shule.
Shule ya SERIKALI inauzwa kama Peremende.
Shule iliyojengwa kwa KODI za wananchi kuna watu wachache wamekaa huko juu wameamua WAUZE.
Maelfu ya WATANZANIA yanaenda kuumia kwa kukosa huduma ya Elimu kwaajili ya Maamuzi ya VIGOGO wachache.
Hapa ndio tulipofikishwa TAIFA na CHUKUA CHAKO MAPEMA (CCM).
Uko gizani niko upenuni penye mwanga.. Unaniona .. Sikuoni.. Unanisoma.. Sikusomi.. Ila kupitia maandishi tunaweza kuna kitu fulani ndani yakekwenye majadliano muhimu, yamaana na ya kiungwana kama haya,
vijito vya asali, maziwa na maumivu vinatoka wapi tena wakati huu wa kulisha ubongo chakula chake gentleman?🐒
Bilashaka upenuni penye mwanga palipita giza totoro na usingizi wa fikra ukawajaa watanganyika wachache sana wakajikuta Tanzania, eti saivi ndio tena mwangaza hafifu mno umewaijia mkiwa wachovu sana dah, hurumae🐒Uko gizani niko upenuni penye mwanga.. Unaniona .. Sikuoni.. Unanisoma.. Sikusomi.. Ila kupitia maandishi tunaweza kuna kitu fulani ndani yake
Mlijifunza mafumbo pamoja na February!?,😂🙌🏿🏃🏿Bilashaka upenuni penye mwanga palipita giza totoro na usingizi wa fikra ukawajaa watanganyika wachache sana wakajikuta Tanzania, eti saivi ndio tena mwangaza hafifu mno umewaijia mkiwa wachovu sana dah, hurumae🐒
Mshana Jr mimi siku hizi habari kama hizi zinanifurahisha sana. Nchi inaliliwa lakini sisi mi-wananchi tumekaa kama tuko peponi. Ndiyo maana wanataka kuhakikisha kuwa uchaguzi ujao wanaweka watu ambao hawatapiga kelele.Shule ya Msingi UBUNGO NATIONAL HOUSING NYUMA YA UBUNGO PLAZA IMEUZWA.
Wazazi wameambiwa Wakachukue watoto wao wakawatafutie Shule.
Shule ya SERIKALI inauzwa kama Peremende.
Shule iliyojengwa kwa KODI za wananchi kuna watu wachache wamekaa huko juu wameamua WAUZE.
Maelfu ya WATANZANIA yanaenda kuumia kwa kukosa huduma ya Elimu kwaajili ya Maamuzi ya VIGOGO wachache.
Hapa ndio tulipofikishwa TAIFA na CHUKUA CHAKO MAPEMA (CCM).