Baada ya kuuza vikubwa vyote, sasa vya kati vimeanza kuchukuliwa.. Kama tusipogutuka kwenye hili pia tumekwisha. Sasa ni zamu ya shule ya Msingi Ubungo shule ya umma!
Miezi miwili iliyopita kiliuzwa kituo cha mabasi madogo ya abria maarufu kama simu 2000.. Tulipiga kelele za hapa na pale likapita hilo.
Asili ya haya manunuzi ni kuuzwa kwa iliyokuwa stand kuu ya mabasi Ubungo ambayo ilikuja kuhamishiwa Mbezi Luois. Stand hiyo ya zamani sasa panajengwa kituo/soko kubwa la bidhaa za kichina.
Stand ya simu 2000 wameuziwa watu wa DART. Shule haijajulikana vema kauziwa nani. Kuna kila dalili eneo lote la Ubungo lenye huduma za Jamii litamegwa vipande vipande mpaka watalimaliza. TBS ya zamani pengine iko mbioni. Soko la simu 2000 nalo sidhani kama litapona. Mahamaka ya mafisadi je.nknk
Huko tuendako hata wananchi watafurushwa ni swala la muda tu. Baada ya kumaliza Ubungo kituo kinachofuata most likely ni urafiki.. Muda utasema.
Baada ya kuuza vikubwa vyote, sasa vya kati vimeanza kuchukuliwa.. Kama tusipogutuka kwenye hili pia tumekwisha!
Sasa ni zamu ya shule ya Msingi Ubungo shule ya umma!
Miezi miwili iliyopita kiliuzwa kituo cha mabasi madogo ya abria maarufu kama simu 2000.. Tulipiga kelele za hapa na pale likapita hilo
Asili ya haya manunuzi ni kuuzwa kwa iliyokuwa stand kuu ya mabasi ubungo ambayo ilikuja kuhamishiwa mbezi Luois
Stand hiyo ya zamani sasa panajengwa kituo/soko kubwa la bidhaa za kichina
Stand ya simu 2000 wameuziwa watu wa DART.. shule haijajulikana vema kauziwa nani..
Kuna kila dalili eneo lote la ubungo lenye huduma za Jamii litamegwa vipande vipande mpaka watalimaliza
TBS ya zamani pengine iko mbioni
Soko la simu 2000 nalo sidhani kama litapona
Mahamaka ya mafisadi je.nknk
Huko tuendako hata wananchi watafurushwa ni swala la muda tuu
Baada ya kumaliza Ubungo kituo kinachofuata most likely ni urafiki.. Muda utasema View attachment 3151160
hivi mpaka sasa watanganyika kwa idadi ambao wako physically and mentally fit wanaweza kuzidi mia1 kweli?
nadhan wangejengewa hata jengo moja wakawekwa na kuishi kwa pamoja ili tupate fursa ya kwenda kupata historia na kuwahoji walizubaa wapi mpka wakawa hivyo walivyo na sasa hivi ndio wanakuja kumbwelambwela hapa na kutia huruma Tanzania π

Gentleman,
huna haja kunisamehe ikiwa nastahili pongezi, adhabu, kukosolewa au kusahihishwa..
nadhani mimi pamoja na wadau na waTanzania kwa ujumla tusio na maslahi na hiyo sijui tanganyika yafaa kufahamu mnataka tuwahurumie nini hasa kwa tusichokijua na mlichokiharibu wenyewe π