Tanganyika iko mnadani?

Basi sawa...maana

Tukiongea vijana tunaonekana wapumbavu, hatujui siasa acha tukae kimya
 
shukran sana kwa mifano ya kihistoria na endelea enjoy kua mTanzania na mema yake yote. Huna haja kubabaika na mengineyo 🐒
 
shukran sana kwa mifano ya kihistoria na endelea enjoy kua mTanzania na mema yake yote. Huna haja kubabaika na mengineyo 🐒
 
Mchakato wa jambo hili likitakiwa wananchi washirikishe miaka au miezi kibao nyuma kuwa kuna wazo la kufanya jambo litakalogusa umma mkubwa mpana.

Kutoshirikisha umma katika mipango yoyote inayoendelea katika kuchukua eneo, ardhi, shule n.k ni jambo lisilokubalika.
 
Mko penye kijito cha asali na maziwa... Hamuwezi kamwe kuyatambua maumivu yetu
kwenye majadliano muhimu, yamaana na ya kiungwana kama haya,

vijito vya asali, maziwa na maumivu vinatoka wapi tena wakati huu wa kulisha ubongo chakula chake gentleman?🐒
 
Kwa sasa huu uzi ni tangazo tuu la kuuza shule ya ubungo.
Maana siyo malalamiko wala makasiriko hakuna hatua zozote zinazotakiwa kuchukuliwa na wala hakuna wa kuchukuwa hatua. Ni CCM wenyewe kwa wenyewe mnàpeana taarifa ya mnachofanya.
Hàkuna Cha mpinzani wala chama tawala wote lào moja.
 
kwenye majadliano muhimu, yamaana na ya kiungwana kama haya,

vijito vya asali, maziwa na maumivu vinatoka wapi tena wakati huu wa kulisha ubongo chakula chake gentleman?🐒
Uko gizani niko upenuni penye mwanga.. Unaniona .. Sikuoni.. Unanisoma.. Sikusomi.. Ila kupitia maandishi tunaweza kuna kitu fulani ndani yake
 
Nilisema kitambo bado nyie kipigwa mnada
Hivi ikija meli mkaambiwa inaenda kwa Trump mtakataa?
 
Hivi na hapa viwanja vya Biafra Kinondoni panajengwa nini? Naona wameshazunguushia mabati. Mwenye taarifa atujuze
 
Uko gizani niko upenuni penye mwanga.. Unaniona .. Sikuoni.. Unanisoma.. Sikusomi.. Ila kupitia maandishi tunaweza kuna kitu fulani ndani yake
Bilashaka upenuni penye mwanga palipita giza totoro na usingizi wa fikra ukawajaa watanganyika wachache sana wakajikuta Tanzania, eti saivi ndio tena mwangaza hafifu mno umewaijia mkiwa wachovu sana dah, hurumae🐒
 
Mlijifunza mafumbo pamoja na February!?,😂🙌🏿🏃🏿
 
Mshana Jr mimi siku hizi habari kama hizi zinanifurahisha sana. Nchi inaliliwa lakini sisi mi-wananchi tumekaa kama tuko peponi. Ndiyo maana wanataka kuhakikisha kuwa uchaguzi ujao wanaweka watu ambao hawatapiga kelele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…