Tanganyika iko mnadani?

CHUKUWACHAKOMAPEMA ni hatari kwa afya yako MDANGANYIKA!
 
Hawa jamaa acha wauze tu
 
Acha uzushi, upotoshaji na uwongo km mlivyozoea nyie nyumbu. Mmeshindwa siasa mmehamia kwenye uzushi na upotoshaji. Shame on you! Eti shule imeuzwa bila ht aibu? Km serikali imebadilisha matumizi ya ardhi yake nyie nyumbu mwawashwa na nini.
 
DART ni kampuni ya nani. Acha ubwege serikali inaweza kubadili matumizi ya ardhi yake inavyoona inafaa. Kuna kipande cha babu yako kimachukuliwa? Acha kiherehere na upotoshaji wa kipuuzi.
 
Hii nchi hii,viongozi ni kama masela wa gheto
 
Acha uzushi, upotoshaji na uwongo km mlivyozoea nyie nyumbu. Mmeshindwa siasa mmehamia kwenye uzushi na upotoshaji. Shame on you! Eti shule imeuzwa bila ht aibu? Km serikali imebadilisha matumizi ya ardhi yake nyie nyumbu mwawashwa na nini.
Kwahiyo hiyo video imetengenezwa? Mwana tumia hata akili Za kudinyia zikusaidie kung’amua
 
Baada ya kuuza vikubwa vyote, sasa vya kati vimeanza kuchukuliwa.. Kama tusipogutuka kwenye hili pia tumekwisha. Sasa ni zamu ya shule ya Msingi Ubungo shule ya umma!
Halafu kwa pembeni kuna madarasa ya ghorofa kadhaa yalishaanza kujengwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…