Hao chawa ni watu wanaopenda sana misafari ya mambele huko. Kwahiyo hii kimya ni kunguru mwoga anayeficha mbawa zake.Sasa Steve Mangeri la saba B anaweza fanya ubunifu wowote wa graphics kumsifia chura
Chawa wanaishi kwenye uchafu, ewe Mwenyezi Mungu tunakuomba utuondolee huu uchafu katika ardhi ya Tanganyika.
kweli kuna maumivu? kwako?wakianza kutukana hawana breki aisee .. Inaumiza sana
Hapo sojaelewakitu mkuu