pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,524
- 4,928
Mbona wanaongea kiswahili kabisaCHAWA WA MAMA hawajui kiengereza. Hivyo, hawawezi kuwajibu Gen Z ya Kenya
Mbona wanaongea kiswahili kabisaCHAWA WA MAMA hawajui kiengereza. Hivyo, hawawezi kuwajibu Gen Z ya Kenya
Wamesema wataanza kutumia Kiswahili ili Watanzania tuweze kuwaelewa. Hata kule bungeni wamesema watatumia Kiswahili ili wabunge wetu akina Dr. Musukuma waweze kuwaelewa 😂CHAWA WA MAMA hawajui kiengereza. Hivyo, hawawezi kuwajibu Gen Z ya Kenya
Gen Z wakati mwingine wakicharuka wanaparua kwa kithungu. sasa akina Steve Nyerere na Mwikagu Kithungu inawapiga chenga. Ndo maana wapo kimya. Hata Bunge letu limefananishwa na Mabaraza ya Kaunti za kule Kenya.Mbona wanaongea kiswahili kabisa
Vikundi vya kupiga hela tu.Tunadhalilika duniani
Tunadhalilika mitandaoni
Tunadhalilika Afrika
Tunadhalilika ndani ya jumuiya ya Afrika mashariki mashariki
Hakuna haja ya kurudia chanzo cha haya yote.. Haisaidii tena.. Maana maji yameshamwagika.. Tukitaka kuzoa tutazoa tope
Kazi hiyo ya udhalilishaji inafanywa na makundi mbalimbali hapo nchi jirani ya Kenya yakiongozwa na vijana wao maarufu kama Gen-Z.. Hawafanyi haya kama uchokozi la hasha ipo sababu ya wazi kabisa
Sasa basi kuna vikundi vingi vilibuka hapa bongo vikiongozwa na kile maarufu kama CHAWA WA MAMA! Hivi vilijiapiza kuwa vitakula sahani moja na yeyote yule atakayemzogoa mama kwa lolote like
Ni wiki sasa inaisha Gen-Z kila uchao wanakuja na kituko kipya cha udhalilishaji, matusi, kejeli, kashfa.. Nknk.. Sijaona hata kikundi kimoja kikitoa walau waraka wa sentence moja ya kukemea.. Je vinafurahia haya yanayoendelea?
Hebu tuvitaje vile vikundi vyote hapa.. Tuvitengenezee petition ya kufutwa na kuadhibiwa maana vimeshindwa kazi
Udhalilishaji unaoendelea hauishii kwa mhusika tuu Bali mpaka kwetu sisi tusio na kosa lolote... Wakianza kutukana hawana breki aisee .. Inaumiza sanaView attachment 3345784
Wafupi wa mama wamekimbia?Kumpuuza mtu ni jibu zuri zaidi, sio kila kitu kijibiwe
Ona hii sasa, kama hii ni kweli, tuwe tunatumia kiswahili chetu tuu kiufahari.
Tupo mkuu. Mkutano mkuu 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️"WALEVI WA MAMA" wapo hapa Dodoma.
Akhsante kwa kuiweka hapa lebel yao.
Tanganyika imekuwa koloni la Zanzibar, sasa ameamua kutengeneza opposition party ambayo mtendaji mkuu ni chawa wake pia Mzanzibari mwenzake. Zito wamemtoa kwenye status ya ‘special chawa’ kwa kuwa hana tena influence katika public ya Watanganyika.Watu waelewe neno Tanganyika,ina najisiwa na mzanzibar,mungu atufumbue macho watanganyika