Tanganyika inadhalilika: Viko wapi vile vikundi lukuki vilivyoapa kumtetea mama?

Tanganyika inadhalilika: Viko wapi vile vikundi lukuki vilivyoapa kumtetea mama?

Angeliamsha tu
Kufanya deportation ya walimu, wapishi, mabaamedi, wenye asili ya kikenya.

Strictly control ya mpaka wa Kenya, na ikiwezekana Ile miezi ikifika fungia sembe isitoke.

Worst case scenario Mkenya akitaka kuja Tanzania walipie visa kwa kiasi Cha dollar 100 maana lishakuwa Taifa korofi kwetu.
Haina haja ya yote hayo, hao vijana wanaongea sababu wanakula ugali wameshiba. Sasa dawa ni kuzuia mahindi yasiende hapo Kenya.

Wanapiga kelele wakati tunawalisha ugali.
 
Tunadhalilika duniani
Tunadhalilika mitandaoni
Tunadhalilika Afrika
Tunadhalilika ndani ya jumuiya ya Afrika mashariki mashariki

Hakuna haja ya kurudia chanzo cha haya yote.. Haisaidii tena.. Maana maji yameshamwagika.. Tukitaka kuzoa tutazoa tope

Kazi hiyo ya udhalilishaji inafanywa na makundi mbalimbali hapo nchi jirani ya Kenya yakiongozwa na vijana wao maarufu kama Gen-Z.. Hawafanyi haya kama uchokozi la hasha ipo sababu ya wazi kabisa

Sasa basi kuna vikundi vingi vilibuka hapa bongo vikiongozwa na kile maarufu kama CHAWA WA MAMA! Hivi vilijiapiza kuwa vitakula sahani moja na yeyote yule atakayemzogoa mama kwa lolote like

Ni wiki sasa inaisha Gen-Z kila uchao wanakuja na kituko kipya cha udhalilishaji, matusi, kejeli, kashfa.. Nknk.. Sijaona hata kikundi kimoja kikitoa walau waraka wa sentence moja ya kukemea.. Je vinafurahia haya yanayoendelea?

Hebu tuvitaje vile vikundi vyote hapa.. Tuvitengenezee petition ya kufutwa na kuadhibiwa maana vimeshindwa kazi

Udhalilishaji unaoendelea hauishii kwa mhusika tuu Bali mpaka kwetu sisi tusio na kosa lolote... Wakianza kutukana hawana breki aisee .. Inaumiza sanaView attachment 3345784
Watafanya nini nawakati sasa vita imehamia kwa watu wenye akili wanaojua kutumia akili na maarifa. Hao chawa wanajua kufanya kazi mbele ya maiki tu zaidi ya hapo hawana lolote wanabaki kama takataka tu shimoni
 
Halafu mapigano hua yanaanza hivi hivi...yaani kiongozi anapandikiza chuki miongoni mwa raia wa nchi nyingine halafu wanaanza kubaguana then wanapigana halafu kinalipuka kati ya taifa na taifa.
 
Mtu anapewa nini hata akubali kuitwa chawa?
86de0fb5-3a20-4953-896f-65945e91c557.jpeg
 
Tunadhalilika duniani
Tunadhalilika mitandaoni
Tunadhalilika Afrika
Tunadhalilika ndani ya jumuiya ya Afrika mashariki mashariki

Hakuna haja ya kurudia chanzo cha haya yote.. Haisaidii tena.. Maana maji yameshamwagika.. Tukitaka kuzoa tutazoa tope

Kazi hiyo ya udhalilishaji inafanywa na makundi mbalimbali hapo nchi jirani ya Kenya yakiongozwa na vijana wao maarufu kama Gen-Z.. Hawafanyi haya kama uchokozi la hasha ipo sababu ya wazi kabisa

Sasa basi kuna vikundi vingi vilibuka hapa bongo vikiongozwa na kile maarufu kama CHAWA WA MAMA! Hivi vilijiapiza kuwa vitakula sahani moja na yeyote yule atakayemzogoa mama kwa lolote like

Ni wiki sasa inaisha Gen-Z kila uchao wanakuja na kituko kipya cha udhalilishaji, matusi, kejeli, kashfa.. Nknk.. Sijaona hata kikundi kimoja kikitoa walau waraka wa sentence moja ya kukemea.. Je vinafurahia haya yanayoendelea?

Hebu tuvitaje vile vikundi vyote hapa.. Tuvitengenezee petition ya kufutwa na kuadhibiwa maana vimeshindwa kazi

Udhalilishaji unaoendelea hauishii kwa mhusika tuu Bali mpaka kwetu sisi tusio na kosa lolote... Wakianza kutukana hawana breki aisee .. Inaumiza sanaView attachment 3345784
You know what?
Aliyeanzisha huu ugomvi ni Watanzania wenyewe!
Kitendo cha kuwakamata, kuwatesa na kuwafurusha makes Wanasheria na Wanaharakati wa Kenya na Uganda kwa kuja kusikiliza kesi ya Mhe. Lissu ndo chanzo.

Sasa Wakenya kupitia Gen-Z, Lawyers na Advocates wameamua kuonesha kuwa wana akili kuliko MACHAWA WA CCM....Kundi lililojaa wajinga, wababaishaji na wachumia tumbo.

Wakenya wamethibitisha kuwa wanaweza kuingilia mifumo ya Taarifa za Serikali ya Tanzania kwa kuvuruga mtandao wa Polisi wa X/Website kwa kufanya HACKING!! Bado wameendelea kuposti video clip through YouTube za kutukana, kudhalilisha na kushambulia mamlaka za Tanzania ilhali Machawa hawafanyi lolote na hawatafanya lolote. Reason: Akili zimejaa matope, uchawa na propaganda zisizo na tija!!!
 
"Honourable Speaker, Tanzania is a poor economy country that does not deserve the honor of being debated in our Senate or National Assembly. It has vast resources, yet its leaders fail to use them for the people's benefit. We should not waste time responding to their parliamentarians' lack of wisdom. What else do MPs, whose main qualification is reading and writing, have to say besides insults?

Most Tanzanian MPs don’t understand the EAC treaty or its protocol. Instead of holding the government accountable, they serve its interests. When the CAG report exposes corruption, they defend the government and summon the CAG to explain himself. Do they really understand anything?

As long as people of Tanzania and Kenya get along well, thats enough. This community belongs to the people, not the leaders. Ignorant MPs are not worth our time. Perhaps our County Assemblies should respond to them instead."
____________

TAFSIRI ISIYO RASMI;

"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi cha kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?

Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?

Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!
 
Tunadhalilika duniani
Tunadhalilika mitandaoni
Tunadhalilika Afrika
Tunadhalilika ndani ya jumuiya ya Afrika mashariki mashariki

Hakuna haja ya kurudia chanzo cha haya yote.. Haisaidii tena.. Maana maji yameshamwagika.. Tukitaka kuzoa tutazoa tope

Kazi hiyo ya udhalilishaji inafanywa na makundi mbalimbali hapo nchi jirani ya Kenya yakiongozwa na vijana wao maarufu kama Gen-Z.. Hawafanyi haya kama uchokozi la hasha ipo sababu ya wazi kabisa

Sasa basi kuna vikundi vingi vilibuka hapa bongo vikiongozwa na kile maarufu kama CHAWA WA MAMA! Hivi vilijiapiza kuwa vitakula sahani moja na yeyote yule atakayemzogoa mama kwa lolote like

Ni wiki sasa inaisha Gen-Z kila uchao wanakuja na kituko kipya cha udhalilishaji, matusi, kejeli, kashfa.. Nknk.. Sijaona hata kikundi kimoja kikitoa walau waraka wa sentence moja ya kukemea.. Je vinafurahia haya yanayoendelea?

Hebu tuvitaje vile vikundi vyote hapa.. Tuvitengenezee petition ya kufutwa na kuadhibiwa maana vimeshindwa kazi

Udhalilishaji unaoendelea hauishii kwa mhusika tuu Bali mpaka kwetu sisi tusio na kosa lolote... Wakianza kutukana hawana breki aisee .. Inaumiza sanaView attachment 3345784
Nimecheka ghafla
 
Ukiwa mtu' mzima na usipoweza kuzuia na kukemea mambo yanayotokea chumbani kwako hasa kwa unao walea, Kuna siku watakudhalilisha ukumbini au kwenye hadhara ya watu' (kadamnasi)
Ukijinyea anaeona aibu ni Wewe sio wanaokutazama kwamba umejinyea, sasa Bibi kajinyea hapa aibu sio yetu ni aibu yake maana sasa wanapigwa mawe mpaka wajukuu yale matusi ya wakenya kila nikiingia Youtube km una roho nyepesi unaweza ukawehuka km yule mbunge wa viti maalum
 
Back
Top Bottom