Mungu akulinde kaka🥺🥺🥺🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
Si hawataki mama yao asemwe hata kama akitukosea.Nimekikosea nini sasa😭😭😭
Mtu alieshindwa kurekebisha jino unamwambia habari za graphics? Serious!!!Sasa Steve Mangeri la saba B anaweza fanya ubunifu wowote wa graphics kumsifia chura
Itasaidia? Na wale wa TZ Wanaouza Kahawa chungu Kenya?Angeliamsha tu
Kufanya deportation ya walimu, wapishi, mabaamedi, wenye asili ya kikenya.
Strictly control ya mpaka wa Kenya, na ikiwezekana Ile miezi ikifika fungia sembe isitoke.
Worst case scenario Mkenya akitaka kuja Tanzania walipie visa kwa kiasi Cha dollar 100 maana lishakuwa Taifa korofi kwetu.
Mimi nilipendezwa na kikundi cha WAFUPI WA MAMATunadhalilika duniani
Tunadhalilika mitandaoni
Tunadhalilika Afrika
Tunadhalilika ndani ya jumuiya ya Afrika mashariki mashariki
Hakuna haja ya kurudia chanzo cha haya yote.. Haisaidii tena.. Maana maji yameshamwagika.. Tukitaka kuzoa tutazoa tope
Kazi hiyo ya udhalilishaji inafanywa na makundi mbalimbali hapo nchi jirani ya Kenya yakiongozwa na vijana wao maarufu kama Gen-Z.. Hawafanyi haya kama uchokozi la hasha ipo sababu ya wazi kabisa
Sasa basi kuna vikundi vingi vilibuka hapa bongo vikiongozwa na kile maarufu kama CHAWA WA MAMA! Hivi vilijiapiza kuwa vitakula sahani moja na yeyote yule atakayemzogoa mama kwa lolote like
Ni wiki sasa inaisha Gen-Z kila uchao wanakuja na kituko kipya cha udhalilishaji, matusi, kejeli, kashfa.. Nknk.. Sijaona hata kikundi kimoja kikitoa walau waraka wa sentence moja ya kukemea.. Je vinafurahia haya yanayoendelea?
Hebu tuvitaje vile vikundi vyote hapa.. Tuvitengenezee petition ya kufutwa na kuadhibiwa maana vimeshindwa kazi
Udhalilishaji unaoendelea hauishii kwa mhusika tuu Bali mpaka kwetu sisi tusio na kosa lolote... Wakianza kutukana hawana breki aisee .. Inaumiza sana
Kwenye Hoja za msigi km Bandari mkaamua kuwatumia Mashee kuwajibu wanazuoni?Kumpuuza mtu ni jibu zuri zaidi, sio kila kitu kijibiwe
Mbona wapo chawa wapevu akina mwijaku na baba levo wanashindwa nini kutengeneza graphics kuwajibu wahuni wa kenya?
Tumelikoroga wenyewe acha tulinywe tulewe.Tunadhalilika duniani
Tunadhalilika mitandaoni
Tunadhalilika Afrika
Tunadhalilika ndani ya jumuiya ya Afrika mashariki mashariki
Hakuna haja ya kurudia chanzo cha haya yote.. Haisaidii tena.. Maana maji yameshamwagika.. Tukitaka kuzoa tutazoa tope
Kazi hiyo ya udhalilishaji inafanywa na makundi mbalimbali hapo nchi jirani ya Kenya yakiongozwa na vijana wao maarufu kama Gen-Z.. Hawafanyi haya kama uchokozi la hasha ipo sababu ya wazi kabisa
Sasa basi kuna vikundi vingi vilibuka hapa bongo vikiongozwa na kile maarufu kama CHAWA WA MAMA! Hivi vilijiapiza kuwa vitakula sahani moja na yeyote yule atakayemzogoa mama kwa lolote like
Ni wiki sasa inaisha Gen-Z kila uchao wanakuja na kituko kipya cha udhalilishaji, matusi, kejeli, kashfa.. Nknk.. Sijaona hata kikundi kimoja kikitoa walau waraka wa sentence moja ya kukemea.. Je vinafurahia haya yanayoendelea?
Hebu tuvitaje vile vikundi vyote hapa.. Tuvitengenezee petition ya kufutwa na kuadhibiwa maana vimeshindwa kazi
Udhalilishaji unaoendelea hauishii kwa mhusika tuu Bali mpaka kwetu sisi tusio na kosa lolote... Wakianza kutukana hawana breki aisee .. Inaumiza sana
wacha iwe hivyo hivyo kama njia nyingine zinagoma liwe liwalo; tumechokaTunajumuishwa wote ukiwepo wewe.. Unajisikiaje kuhukumiwa kwa kosa lisilo lako?