Tanganyika inadhalilika: Viko wapi vile vikundi lukuki vilivyoapa kumtetea mama?

Vikundi vya kupiga hela tu.
 
Wamejikusanya tu watu wenye njaa na wenye uwezo mdogo wa kufikiri sasa unatarajia Ile vita ya wakenya watajibu Nini kama tu kujenga hoja hawawezi ?
 
Njaku kapigwa kombora la kurusha TUKUNYEMAA 🀣🀣🀣🀣
 
Tupo mkuu. Mkutano mkuu πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

View attachment 3348393
Akhsante kwa kuiweka hapa lebel yao.
Ni malevi hasa ila nimependa kitu kimoja, kama kawaida ya wanywaji pombe, wakishafikia kiwango cha kulewa, wanaongea ukweli toka moyoni.

Wote hao walevi wa mama wanasema ukweli ni kuwa mama yao hatoshi kabisa kabisa.
 
Watu waelewe neno Tanganyika,ina najisiwa na mzanzibar,mungu atufumbue macho watanganyika
Tanganyika imekuwa koloni la Zanzibar, sasa ameamua kutengeneza opposition party ambayo mtendaji mkuu ni chawa wake pia Mzanzibari mwenzake. Zito wamemtoa kwenye status ya β€˜special chawa’ kwa kuwa hana tena influence katika public ya Watanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…