Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Man hizi picha unatoaga wapi? Nilishajiuliza hili swari siku nyingi Leo nimeamua nikuulize
Kisheria haruhusiwi kugombea kwa kuanza kampeni mapema kabla ya kutangazwa rasmi na tume yake ya uchaguzi. Ila nani anaweza kumshtaki mshtakiwa anayekuwa hakimu katika shauri husika??!! Na katiba yetu inasema rais hawezi kushtakiwa kwa kosa lolote analofanya akiwa madarakani - inamlinda mkosaji!
watatuonyesha tu, mpaka kitumbua cha mamaWaswahili pia wamenena kuwa wazimu ncha 7. Hivi kuna watu wanazo hata kdg!?
Naamini kuna mpk pichu za Mama watu wanavaa bado kutuonesha hadharani tu
Exactly π― π π πImebaki pichu tuu